Mwanamke akikupenda kweli, ukimsifia anafurahi

Wanawake wote wanapenda kusifiwa mkuu awe wako na hata unaokutana nao barabarani

Apendeze asipendeze, awe mzuri asiwe mzuri

Ndio hulka yao na unaweza kumpata kwa kumsifia tu
 
Hello guys,

Hivi unajua kwamba mwanamke akiwa anakupenda ukimsifia wewe ni mzuri huwa anafurahi? Hata sauti yake huwa inabadilika.

Ila kama hakupendi ukimsifia anaona kama unamkera, so mwaume mwenzangu chukua hii itakusaidia sana.

Kama upo nae karibu angali facial expresssion, ila kama yuko mbali sikiliza sauti yake utagundua.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Tafuta pesa utimize ndoto na mafanikio yako, hizo zingine zote ni mbwembwe na uongo. Watakuigizia mpaka akili zikukae sawa, ndio utaacha kushabikia mambo yasiyo na msingi maishani mwako. Mwanamke anasifia hata nadereva wa uber naanafurahi. Komalia maisha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom