Mwanamke akichanganya kingereza na kiswahili wakati unamtongoza achana nae kafanye mambo mengine

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,946
5,852
Natumaini mko poa.

Katika maisha ya sasa kumezuka mtindo wa wanawake kujifanya wajuaji sana pindi unapo mtokea kwa nia njema ya kutaka kumuoa bila wao kujua hiyo ni ishara mbaya inayo wapelekea kupoteza bahati hivi hivi.

Katikati ya mazungumzo ya hapa na pale ya kuchombeza na kufahamiana zaidi utakuta mwanamke anaanza kuchanganya kingereza na kiswahili katika matamshi yake wakati wa kutoa majibu au kupangua mitego mbali mbali ya mwanaume huku aking'ata na kumung'unya maneno kwa madaha.

Ndugu wanaume wezangu hawa viumbe kuchanganya lugha za aina mbili tofauti au zaidi ni dalili moja wapo ya kwamba hawajitambui, hawajielewi na hayupo smart kimaisha na katika akili yake kuna vitu havipo sawa hivyo atakusumbua sana ukiingia naye kwenye ndoa mpaka ukome kumjua, siku zote mwanamke aliye smart akilini na anayejua anachopaswa kufanya na anavyotakiwa kubehave mbele ya mwanaume kwa namna yeyote ile hawezi kuchanganya lugha mbili tofauti kwenye matamshi yake. Atachagua lugha moja ya kuzungumza na mwanaume kama ni kiswahili atatumia kiswahili mwanzo mwisho na kama ni kingereza basi atatumia kingereza mwanzo mwisho kulingana na aina ya mwanaume aliye mchombeza na siyo kuchanganya changanya lugha kama mtu asiye na maadili.

Ukiona ana changanya changanya lugha kwenye maongezi yake kwa namna moja ama nyingine wakati una mtongoza fahamu wazi kabisa huyo mwanamke hajitambui nani slay queen na hakika utateseka ukikaza fuvu na hapo hakuna ndoa kabisa.
 
_20240130_135435.JPG
 
kama unamuelewa sio shida, kama wewe ni limbukeni wa lugha utakoma
 
Kizazi iki mnatongoza kweli duuhh enewei alafu jibu bada ya muda gani?

Mpoint demu uliemwelewa tafuta ukaribu nae piga nae story hakikisha awe anatabasamu muda mwingi kwa maneno yako then mwombe appointment ya kwenda kupata either chakulaĺa cha jioni au vinywaji etc. take her number
then usiwe na mapepe nae onana nae ukiwa nadhifu umvutie kuwa nae mfanye afurahie iyo siku akiwa anaongea msikilize kwa makini huku unamtizama msifie akiongea points
mpime upepo wengine wanalika siku iyo iyo ukijiongeza

Kama uo interest nae zaid plan date ingine yani kabla hujamaliza kumtongoza kashakupa jibu lako
 
Ukiona vile nawe koroga kizungu ambacho hakina hata chembe ya neno la kuswahili. Ila kiwe kimenyooka. Atanywea!
 
Alafu baadae mnalalamika hakuna wanawake wa kuoa..Yani mtu una parameters za kuchuja wanawake kama milioni alafu wewe mwenyewe ni hohehahe kama mimi..hiyo correlation ulivyoijenga inaonekana ni personal experience,usi-generalize...Baki na misimamo yako
 
Natumaini mko poa.

Katika maisha ya sasa kumezuka mtindo wa wanawake kujifanya wajuaji sana pindi unapo mtokea kwa nia njema ya kutaka kumuoa bila wao kujua hiyo ni ishara mbaya inayo wapelekea kupoteza bahati hivi hivi.

Katikati ya mazungumzo ya hapa na pale ya kuchombeza na kufahamiana zaidi utakuta mwanamke anaanza kuchanganya kingereza na kiswahili katika matamshi yake wakati wa kutoa majibu au kupangua mitego mbali mbali ya mwanaume huku aking'ata na kumung'unya maneno kwa madaha.

Ndugu wanaume wezangu hawa viumbe kuchanganya lugha za aina mbili tofauti au zaidi ni dalili moja wapo ya kwamba hawajitambui, hawajielewi na hayupo smart kimaisha na katika akili yake kuna vitu havipo sawa hivyo atakusumbua sana ukiingia naye kwenye ndoa mpaka ukome kumjua, siku zote mwanamke aliye smart akilini na anayejua anachopaswa kufanya na anavyotakiwa kubehave mbele ya mwanaume kwa namna yeyote ile hawezi kuchanganya lugha mbili tofauti kwenye matamshi yake. Atachagua lugha moja ya kuzungumza na mwanaume kama ni kiswahili atatumia kiswahili mwanzo mwisho na kama ni kingereza basi atatumia kingereza mwanzo mwisho kulingana na aina ya mwanaume aliye mchombeza na siyo kuchanganya changanya lugha kama mtu asiye na maadili.

Ukiona ana changanya changanya lugha kwenye maongezi yake kwa namna moja ama nyingine wakati una mtongoza fahamu wazi kabisa huyo mwanamke hajitambui nani slay queen na hakika utateseka ukikaza fuvu na hapo hakuna ndoa kabisa.
Maisha sio magumu hivyo. Kuna maneno nimekosa kiswahili chake imebidi niishie hapa.
 
Hata kama ana tako?
 
Back
Top Bottom