Mwanamama mfaransa aula ukuu wa IMF.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mwanamama christine Lagarde aliyekuwa waziri wa fedha wa ufaransa ameteuliwa kuwa mkuu wa shirika la fedha duniani IMF.Hongera kwake Lagarde lakini cha ajabu ni pale niliposikia kutoka BBC kwamba kuna sheria ambayo haiko vitabuni kwamba nchi zinazostahili kuongoza IMF ni zile za bara la ulaya na nchi ya marekani tu,waafrika tutaishia kutazama tu!
 
jiulize, ombaomba ukimpa u-wekahazina itakuwaje?
 
Back
Top Bottom