MwanaJF Huyu na utani wake wa kuchangia post ananifurahisha!

Searching 00%
Loading 98%
99% Multiple ID found.
100%Network Failed
Hallo e2themiza acha mbwembwe zako za manetwork na mahackings ingawa yamenisaidia sana. Nakuapia e2themiza hakuna multiple id hapa kama inavyoonyeshwa kwenye manetwork yako!
 
mkuu kuna jamaa kasema eti ni id yako''teh teh,,,,,,,
Watu wanasema vitu vingi sana Mr director! Mimi si THK, mimi ni hygeia. Na mimi binafsi sioni sababu ya kuwa na multuple id kwa sababu sitafuti 'accolades' zozote hapaJF.
 
100%.....multiple id at work.
Mr Senetor, what makes you 100% certain that it is multiple id at work? You dont know me , neither THK. Revise your survey if you've done any.
 
Yupo huyu MwanaJF mwenye kutumia ID ya THK DJAYZZ ana staili yake ya kuchangia thread kwa namna yakuchekesha sana kwa kutumia misamiati ya mtandao. Kama akiona thread haijamkaa vizuri anaporomosha misamiati ifuatayo:
Searching 00%
Loading 00%
Network Failed
Akifika hapo pa Network Failed anasepa. Lau kama anataka kuchangia kwenye thread, hizo % anazipandisha juu sana na kumalizia: Network Connected kisha anajimwaga kiasi anachotaka. Hii staili yake aliyobuni inanifurahishaga sana na imekuwa trademark(utambulisho)wake.Hallo THK, usibadili staili hii imeshakuwa part of you.

acha ushamba wako wa ma ID mia mia,
sasa hapo kuna ubunifu gani?
 
Back
Top Bottom