Mwanajeshi mwingine auliwa huko Congo

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Kuna mwanajeshi mwingine wa MUNOSCO ameuliwa huko Eringeti Wilaya ya Beni. Inahisiwa inaweza akawa ni Mwajeshi wa Jeshi la Tanzania.

Kinachosubiriwa ni msemaji wa MUNOSCO kusema ni Mwanajeshi wa Nchi gani Kauliwa.

Mwanajeshi huyo alikua yupo lindoni leo hii, Ameuliwa kwa Risasi.
 
Aina ya usafiri wanaopewa na munosco hata siukubali. Jeshi la umoja wa mataifa haliwezi kuwa na usafiri kama wa alshabab au boko haramu. Majeshi ya watu binafsi. Wahusika fanyieni kazi hii changamoto.
 
Nimesikitika kitendo cha kushindwa kutaja majina ya waliofariki. Standard procedure ingekua kuwataarifu wanafamilia halafu jamii. Hivi kweli hawa TPDF hawajui kuna wanajeshi mamia Congo wenye ndugu zao wanaotaabika kwa kutokujua iwapo ni ndugu Yao ndiye aliyekufa? Yaani nchi imejaa ujinga kila kona. Hii imenikasirisha sana
 
Kuna mwanajeshi mwingine wa MUNOSCO ameuliwa huko Eringeti Wilaya ya Beni. Inahisiwa inaweza akawa ni Mwajeshi wa Jeshi la Tanzania.

Kinachosubiriwa ni msemaji wa MUNOSCO kusema ni Mwanajeshi wa Nchi gani Kauliwa.

Mwanajeshi huyo alikua yupo lindoni leo hii, Ameuliwa kwa Risasi.

..hizi habari nimezitafuta kwenye mtandao hazipo.

..wewe mwenzetu umezipata wapi?
 
naskia hakuwa.mtanzania ni mnepal, na.pia.alijipiga risasi mwenyewe baada ya ndugu zake kufa kwa tetemeko. Tunawaombea sana makamanda mnao peperusha bendera ya Tz huko. sisi huku tunapambana na mkoloni mweusi.anayefuja hela mnazoiingizia nchi na kushindwa hata kuwatumia hela ya maintainance ya vifaa kama hizo APC
 
Back
Top Bottom