'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

Wewe ni mtu wa kipendacho roho kula nyama mbichi.

Inaelekea huna objective thinking capacity, unatetea hoja yako kwa makosa yaliyofanyika na kuendelea kuchukuliwa hatua.Fuatilia vizuri msimamo wangu juu ya sakata la Mwangosi humu jamvini na utaelimika vizuri.

Nyie ndo watu mnaojitia jazba na munkari kwa kvitu vingine ili kuhalalisha maovu ya wale muwapendao, na kwa hapa huyo "jambazi".

Kama unafikiri Lema au Nassari wana akili sana basi una matatizo, na baada ya haya kujitokeza hebu waulize maoni yao imekuwaje wanapiga picha na mtu asiyefahamika ajira yake hadharani.

Kubishana na wewe ni kupoteza muda wangu! Kila la kheri na makelele yako!
 
Usiwe na akili za kuazimwa Kijana huyo ana athari kubwa kama unavyofikiria, kuna watu tunaowaita mafisadi hivi serikali ingetumia juhudi na nguvu nyingi kama hizi kuwakamata wale mafisadi wa RICHMOND, EPA,waliohifadhi fedha Uswiss na mengineyo kama hayo tungefurahia na kuiamini serikali yetu, hivi hadi leo ile kesi ya mbunge wa BAHI imeishia wapi? hivi jiulize nagepiga picha na kiongozi wa CCM angetafutwa na kukamatwa?

hiyo Single yako na Babu Padri imechuja sasa tafuta nyingine....
 
We acha tu, wanatia hasira sana. Mtu anadiriki kabisa kusema CDM inafuga majambazi yaani hayaoni majambazi wauaji wakubwa ndani ya system yao? Mbona askari aliyemuua Mwangosi na wale wa mauaji mengine hatukuoneshwa kukamatwa kwao na kupigwa pingu? Yaani watu wazima na akili zao wamebaki na issue moja tu ku-deal na askari aliyepiga picha na Lema! Khaaa! Kwani hiyo picha imemuua nani?

Mahaba yakizidi yanatabu sana
 
mi siishangai sana serikali yetu maana suala la ufuatiliaji ni dogo sana,kama kuna watumishi wa uma kibao wamekufa na bado mishahara yao inatoka na kuwanufaisha wachache wenye madaraka,suala la huyo mwanajeshi ni kawaida,jana kuna mwingine kakamatwa kenya tena yeye alijiimpersonate kama mwanajeshi mwenye cheo kikubwa kwa takribani miaka mitano bila kugundulika,waafrika tuna matatizo acha tu watuletee hiyo digital waendelee kutufaidi
 
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police.

Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha, ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi.

Maswali ya kujiuliza:
Inakuwaje raia anavaa nguo za jeshi kwa miaka mingi bila kuchukuliwa hatua, hayo mavazi kayapata wapi?
Je, Lema asingepiga picha naye angejulikanaje kuwa ni raia anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha kama mwanajeshi?


attachment.php

Nch iya wajinga kweli, epa, richmond, rada, twiga, mikataba ya madini, mauaji ya mwangosi, waliojeruhi wabunge wa chadema mza, hawajakamatwa mpaka dk sababu ni walalaheri, utawala wa sheria tz una aleji ukiwa mlalahoi utakamatwa dk 1,
 
JF tunamzungumzia askari halafu wachagga uchwara-wavuta bangi wanatafuta neno la kipuuzi kujifurahisha na misuli kibao ya ku type?
Kweli tumepotoka kama idadi ya WANA JF inaongezwa na wavuta marijuana
 
wanasiasa kaeni kiulinzi zaidi kuliko ,kukaa kiushabiki kwa kudhani watu wooote, kwenye mikutano yenu wanawapenda kiasi cha kuombwa kupiga picha na mtu yoyote unakubali huku ukipiga picha kwa ufahari na kutoa maneno mengi ya kejeli kwa serikali , jiulize mtu huyo akiwa ameficha kisu na kukudhuru lawama zote zitaelekezwa kwa CCM na serikali yake.umaarufu wa kisiasa uende pamoja na umakini wa kiusalama. huyu mwanajeshi fake ni fundisho la pili kwa wanasiasa wetu mnakumbuka jinsi MH KIKWETE alivyovamiwa jukwaani jijini MWANZA, sasa CDM mmefurahia mwanajeshi fake aliye na mapenzi kwenu, endeleeni kufurahia uzembe mpaka atokee mgambo fake mwenye hasira na nyinyi aombe kupiga picha na viongozi kisha afanye vitu vyake, badaye ithibitike alikuwa mwehuu.
 
Kamanda kukamatwa kwako kusikutie shaka sana tutapambana kuhakikisha unakuwa huru kwa umeonyesha ujasiri na uzalendo wa hali ya juu. Nakupongeza sana na nitakuwa tayari kwa kila hatua ya kuhakikisha unakuwa huru kwa hali na mali. Na nitawasiliana na kamanda Lema kuona jinsi ya kukusaidia kisheria hatimaye uje uraiani tupambane pamoja kutafuta uhuru wa kweli wa kila Mtanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Bhululu, shardcole na chitemo naomba niwashaurini: Tafadhali ukurasa wa jamiiforums si wa matusi.
Kama hamna mawazo mazuri na ya kujenga, ni bora mkayaaga mashidano ya ukurasa huu. Hapa ni homepage of great thinkers. Mawazo finyu na yaliyokosa busara yashindwe na yafutike katika nguvu ya aliye juu.
Msiifanye page hii kuwa ni ya kitoto. Tafadhali sana.
 
unahitajika umakini katika ukaguzi wa taasisi zetu za kijeshi, kwani inashangaza sana kwa askari huyo kuvaa gwanda kwa muda wa miaka mingi na taasisi husika isitambue, je, taasisi hizi hazina registrational documents ambazo hutumika kukagua aliopo na asiye kuwepo? please we need your attention in your authority and responsibility!!!!!
 
Ukiiangalia kwa makini picha anaonekana jamaa hana wasiwasi kabisa kama wahalifu walivvyo-jamaa wanatuzingua tu Jamaa ni Mjeshi tu.Jamani mmesahau ya Ulimboka na habari za mkenya.
 
Lema na Nassari wamedhihirisha kuwa ni mambumbu wa sheria kwenda kupiga picha na muhuni kavaa sare za jeshi.

Halafu hawa wabunge ndiyo wanategemewa kwenda bungeni kutunga sheria.

Wabunge kama hawa wakiachiwa wakawa wengi bunge lazima watapitisha sheria kuruhusu bangi na unga watu watumie.

bora hawa wanaopiga picha na wahuni lkn wakifika bungeni moto unawaka kuliko vile vizee vyenu ambavyo vikishalewa kwenye baa za Dodoma huanzisha mashindano ya kurusha mkojo na matokeo yake vinasinzia vikaoni na kukurupuka na sentensi hii ya kukariri ya "naunga mkono hoja".ndio maana taifa letu linasinzia na kujaa warusha mkojo!vipumzisheni vile vizee vimechoshwa na mashindano ya miaka mingi!kurusha mkojo si mchezo,inahitaji msuli kweli kweli na calories nyingi zinapotea hasa kwenye medula oblongata kutokana na mgongo kupinda kwa nyuma ukiiongeza angle ili urushe mbali!
 
wanasiasa kaeni kiulinzi zaidi kuliko ,kukaa kiushabiki kwa kudhani watu wooote, kwenye mikutano yenu wanawapenda kiasi cha kuombwa kupiga picha na mtu yoyote unakubali huku ukipiga picha kwa ufahari na kutoa maneno mengi ya kejeli kwa serikali , jiulize mtu huyo akiwa ameficha kisu na kukudhuru lawama zote zitaelekezwa kwa CCM na serikali yake.umaarufu wa kisiasa uende pamoja na umakini wa kiusalama. huyu mwanajeshi fake ni fundisho la pili kwa wanasiasa wetu mnakumbuka jinsi MH KIKWETE alivyovamiwa jukwaani jijini MWANZA, sasa CDM mmefurahia mwanajeshi fake aliye na mapenzi kwenu, endeleeni kufurahia uzembe mpaka atokee mgambo fake mwenye hasira na nyinyi aombe kupiga picha na viongozi kisha afanye vitu vyake, badaye ithibitike alikuwa mwehuu.

Akimchoma kisu Lema atakuwa ametumwa au ni kichaa, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumchoma kisu mpigania haki za Wanyonge!
 
Kwa hiyo mantiki yako inasema jambazi likijitokeza na kupiga picha n waheshimiwa wa CDM its fair game?

Kwahiyo HUYO alikuwa ni JAMBAZI? Una UHAKIKA HUO au ndio SHERIA za BONGO hizo? Nilidhani SHERIA za KIHAKI ni YOU ARE INNOCENT UNTIL PROVEN GUILTY...

Ndio Maana MAFISADI Mawaziri HADI leo Hawajapelekwa MAHAKAMANI they are still Innocent... Sisi tunapayuka TU Mmmm...
 
Back
Top Bottom