'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Oct 8, 2007
2,731
749
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police.

Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha, ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi.

Maswali ya kujiuliza:
Inakuwaje raia anavaa nguo za jeshi kwa miaka mingi bila kuchukuliwa hatua, hayo mavazi kayapata wapi?
Je, Lema asingepiga picha naye angejulikanaje kuwa ni raia anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha kama mwanajeshi?

attachment.php
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh.....?????????????????????
 
Lazima atakuwa ni mwanajeshi,ila kwa vile usanii unaongoza hapa nchini lazima mambo yapindishwe
 
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha monduli emetiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha, ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa melerani wanamtambua kama mwanajeshi. Maswali ya kujiuliza inakuwaje raia anavaa nguo za jeshi kwa miaka mingi bila kuchukuliwa hatua, hayo mavavi kayapata wapi? Je Lema asingepiga picha naye angejulikanaje kuwa ni raia anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha kama mwanajeshi???

ukimaliza mafunzo ya jeshi magwanda siunaondoka nayo
 
Siku hizi mavazi yafananayo na magwanda ya jeshi pia zipo sokoni. Za TWTZ nadhani kijani yake kali. Mtu kujiita mwanajeshi sidhani kama ni kosa kwani ni sawa na maprof wa mpaka maji marefu!.
 
Hakuna mwanajeshi anayefahamu maadili ya kazi yake angeweza kufanya alichokifanya huyu jamaa. Kuna kila sababu kuamini kuwa alikuwa raia ambaye anamiliki mavazi ya jeshi. Hata hivyo hii haina maana kuwa jeshi la usalama lilikuwa halijui kuwa huyo siyo askari na anavaa nguo hizo kimakosa lakini kwa sababu za kujuana wamekuwa wakimuacha hivyo.
Lazima atakuwa ni mwanajeshi,ila kwa vile usanii unaongoza hapa nchini lazima mambo yapindishwe
 
Back
Top Bottom