MwanajamiiOne.

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,845
lonely-742719.jpg

...Deeply missed, pliz rudi nyumbani... :disapointed:​
 
...Bro,
nawe ume "myuti" sana nowadays bana, nini tena? Ulezi?

ha ha ha!

watoto wa siku hizi wananyonya kama wametumwa vile....!

kwa hiyo some more efforts are needed kwenye utafutaji......

si unamwona kwenye avata hapo?

naomba pia unitafutie mbwa wakali ''GERMENY SHEPHERD''
 
Ninao kama 6 hv... Nitakuazima wawili.. Mkimwona Mwanajamii mnijulishe na mimi pls..
 
ha ha ha!

watoto wa siku hizi wananyonya kama wametumwa vile....!

kwa hiyo some more efforts are needed kwenye utafutaji......

si unamwona kwenye avata hapo?

naomba pia unitafutie mbwa wakali ''GERMENY SHEPHERD''

...Ok, ok...aiseee! Pole sana bana. Enjoy bana,
Umri mtamu sana huo, kila ukirudi nyumbani unakuta kajifunza jipya,
Killer Dog - "Doberman Pincer" atakufaa zaidi kuliko German Shepherd/"Alsatian."
...pale Kijitonyama-Victoria wasijekuuzia punda kwenye mfuko wa Rambo.

hahaha!mbu bana....!

huyo killer dog ''Doberman Pincer'' naona anahusika zaidi
 
ha ha ha!

watoto wa siku hizi wananyonya kama wametumwa vile....!

kwa hiyo some more efforts are needed kwenye utafutaji......

si unamwona kwenye avata hapo?

naomba pia unitafutie mbwa wakali ''GERMENY SHEPHERD''

Na siku hizi mnavyojishaua na ma SMA kopo 26,000 . mie nawagongaga lactogen tu nomata ninaweza au siwezi kununua hayo ya bei.Pole na malezi Teamo ndio ukubwa huo
 
Pole Mbu kwani umempM haja respond? arudi kundini huyu mwanajamii
 
Mkuu Mbu,

Tuheshimiane,nitaanza bifu na wewe sasa....lol

Ndo tumemaliza honeymoon tu,unataka kuzingua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom