MwanaJamiiForums Tumaini Makene, afunga ndoa na Susanne Maselle

Mwanzoni walisema Magufuli hawezi sababu tatizo ni mfumo.

Baada ya kuanza kuwatumbua mafisadi wenzao wakasema ni nguvu ya soda.

Baada ya mwaka mzima kuisha huku sindano zikiwaingia kwa kasi ile ile na soda haiishi nguvu, sasa wameanza kupongeza!

Safi sana Yericko, natamani ufipa yote ipokee ubatizo wa moto kama uliopokea wewe na hatimaye kuungana na rais bora kabisa duniani kulijenga upya taifa la Tanzania.
 
Watu unaowajua almost wote walikuwepo... from Chairperson Freeman Mbowe, Wajumbe wa CC na Mawaziri Wakuu Wastaafu Mzee Edward Lowassa na Frederick Sumaye, Manaibu KM wa CHADEMA John John Mnyika na Salum Mwalim, Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, from all sides CHADEMA, CUF na CCM...kwa hiyo UKAWA ulikuwa live hapo pia. Wapiganaji wote wa CHADEMA unaowajua kwa maana ya wakurugenzi, maofisa, walinzi, madereva walikuwepo... KM alikuwa safarini nje ya nchi kikazi.

Picha hiyo inaelezea...wazee wazima wakiwa na Ba Mkwe. Now my father akiwa pamoja na Ma mkwe.

Wife is also a public figure, a Member of Parliament.

7c3d81afaa271d67f4654f9de469e05a.jpg
Asante kwa taarifa mkuu
 
Woow, bibi harusi na rough dread. Mmpendeza pamoja.
Haya Wanaume wa MMU muache kuwananga 30's si mnaona dada mheshimiwa kapata mtu makini kabisa, kamanda makene.
 
na huyo dada nina uhakika ni mwana JF,anatumia jina gani?lol

hongereni sana,ndoa ni wito,mpendane.lol
 
Hongera sana mkuu Tumaini Makene kwa kufunga ndoa. Mungu akupe uvumilivu, mapenzi, hekima na upendo kwa mke mpate kuishi kwa furaha katika maisha yenu ya ndoa.
 
Hongera wanadoa na wana familia wote wa pande zote mbili. Ni jambo la furaha kuvuka maisha ya ukapera, muwe na amani maisha yenu yote.
 
Hongera sana . ...MAULANA AENDELEE KUWAONGOZA MILELE
 
Back
Top Bottom