Kwa hiyo kazi yake kubwa ilikuwa ni kusimamia Chama ama Serikali?.Je Uk alikuwa anawawakilisha wana CCM au Watanzania wote bila kujali chama?.Je hakuna wanaupinzani Uk waliohitaji huduma yake?.Basi kama alikuwa akisimamia chama basi hafai kuwa Balozi.Mama alipendezea sana Uingereza na amekijenga chama kwa njia ya mashina katika viunga vya UK.
Kwa wale wanaojua government workings aliyefungua hii thread hata kama ilikuwa ni kwa nia njema basi ajue kalikoroga,Serikali huwa hazipendi mtu kuzi jumpstart.Wadau mnakumbuka yaliyomkuta Balozi Juma Mwapachu enzi za Mzee Mkapa baada ya gazeti la Rai kudokeza uteuzi wake?
Mama alipendezea sana Uingereza na amekijenga chama kwa njia ya mashina katika viunga vya UK.
Kwa wale wanaojua government workings aliyefungua hii thread hata kama ilikuwa ni kwa nia njema basi ajue kalikoroga,Serikali huwa hazipendi mtu kuzi jumpstart.Wadau mnakumbuka yaliyomkuta Balozi Juma Mwapachu enzi za Mzee Mkapa baada ya gazeti la Rai kudokeza uteuzi wake?
Huyo balozi kafanya nini zaidi ya kusimamia chama cha ccm nchini humo? kama ni balozi mjanja si angemshauri raisi wenu kuwa tunahitaji equal partnership kati ya marekani na tanzania ?au angeiomba serikali ya marekani ikishirikiana na ya tanzania kuanzisha viwanda mbalimbali ili tuweze kuzalisha na export nchini humo?na ili tuachane na fikra za ku export wanafunzi tukifikiri kuwa GDP yetu itaongezaka kwa kufanya hivyo.
Hongera sana mama! Binafsi nakukubali sana...umeboresha mshikamano na mahusiano na UK!