Mwanaidi Sinare Maajar - Balozi Mpya Marekani

I second it. Masa pole sana na kipigo cha Mancin and the boyz. sisi tunafukuza mwizi kimya kimya. Back to business, JK kulikoni na hayo mabadiliko?

So sick buddy! JT is costing us with his dic k....Nadhani ni strategies za kuboresha mahusiano kwa faida ya Tanzania. Mama Kichwa sana UK ilikuwa haijawahi kuwa na muwakilishi makini mwenye kutetea maslahi ya nchi yake. Ubalozi wetu UK ameubadili sana hata attitude za watendaji pale.
 
Hongera sana mama! Binafsi nakukubali sana...umeboresha mshikamano na mahusiano na UK!

Hizi ni propaganda za SISIM.Mahusiano vipi?weather hatuna balozi UK,hakuna kitachobadilika.Labda watu wa kutuuzia ma RADAR.Mtu wa kawaida Tanzania afaidi chochote kabisa.Balozi hizi hazibadilishi policy,sijawahi kuona Balozi anahojiwa na mainstream media,hakuna promotion ya tourism etc.

Mabalozi wa nje ni ulaji tu,na kuandaa pa kulala wazee wanapokuja shopping1
 
Marekani si uingereza!! Kwanza marekani ni kubwa sana vilevile watu wa huku wengi hawapendi siasa. Watu wanaojiunga na vyama vya siasa huku marekani ni wale watu ambao mambo yao yanaenda vibaya na watu wanaopenda kuonekana. Watu makini na wasomi hawajiungi na hivi vyama nya kijinga.Watanzania wa huku wanataka results kama hata onyesha hawezi kucheka tu kila siku na watu kumpenda. Labda aende Canada kwasababu kuna wa Zanzibar wengi wanaopenda siasa.
 
Kwa hiyo kazi yake kubwa ilikuwa ni kusimamia Chama ama Serikali?.Je Uk alikuwa anawawakilisha wana CCM au Watanzania wote bila kujali chama?.Je hakuna wanaupinzani Uk waliohitaji huduma yake?.Basi kama alikuwa akisimamia chama basi hafai kuwa Balozi.

Nawakilisha

Kwa nini hafai?. Ubalozi unamfaa sana huyu mama kama kazi yake ilikuwa hii ila si Ubalozi alionao bali ni wa "NYUMBA KUMI"

Nafikiri sasa wanaona akapande mbegu za UK na huko US
 
Kumbe kuna wengine mnaweza mpaka kuwasifia mabalozi?

Sijui Canada ina balozi wa Tanzania... aibu tupu.
 
In two years time, Shirikisho la Afrika Mashariki litakapoanza, Jamhuri ya Afrika Mashariki itakuwa inawakilishwa na balozi mmoja. Hii itasaidia kutupatia wawakilishi mabalozi kila mahali, na pia itapunguza gharama!

Bring it on EAC!
 
Mama Mwanaidi ukifika Marekani Wasalime akina Mwanakijiji na Watanzania wote waliopo huko hata wale wenye kutaka uraia wa nchi mbili wote wasalimie pia.Kila la kheri Mama Majaar

na we una matatizo yako kati ya watu wote wa kuwasilimia umeshindwa kujizuia kutaja hili jina.. haya akija na miye nitamsalimia.
 
So sick buddy! JT is costing us with his dic k....Nadhani ni strategies za kuboresha mahusiano kwa faida ya Tanzania. Mama Kichwa sana UK ilikuwa haijawahi kuwa na muwakilishi makini mwenye kutetea maslahi ya nchi yake. Ubalozi wetu UK ameubadili sana hata attitude za watendaji pale.

Nasikia walisema maneno ya watu tu wenye wivu na majungu. Si unakumbuka wahenga walisema jungu kuu halikosi ukoko.
 
In two years time, Shirikisho la Afrika Mashariki litakapoanza, Jamhuri ya Afrika Mashariki itakuwa inawakilishwa na balozi mmoja. Hii itasaidia kutupatia wawakilishi mabalozi kila mahali, na pia itapunguza gharama!

Bring it on EAC!

Chacha tufanyeje dugu? Hii EAC si ndio kila tom dick and harry wanataka.
 
Hizi ni propaganda za SISIM.Mahusiano vipi?weather hatuna balozi UK,hakuna kitachobadilika.Labda watu wa kutuuzia ma RADAR.Mtu wa kawaida Tanzania afaidi chochote kabisa.Balozi hizi hazibadilishi policy,sijawahi kuona Balozi anahojiwa na mainstream media,hakuna promotion ya tourism etc.

Mabalozi wa nje ni ulaji tu,na kuandaa pa kulala wazee wanapokuja shopping1

Underlined: Say that again louder Mmakonde say that again louder nikusikie vizuri you simply dont know what is on the real ground my friend its worse than that.
 
na we una matatizo yako kati ya watu wote wa kuwasilimia umeshindwa kujizuia kutaja hili jina.. haya akija na miye nitamsalimia.

Mwanakijiji kama unaishi United States of A I will surely look for you seems ndo viwanja vyako hivyo na jinsi sredi zinavyorushwa jamvini. Au hutataka kupata wageni kucrush at your place for a night or so???? Soory people off topic kiduchu.
 
nakaribisha wageni wakati wote; tunaambiwa wengine wanapokaribisha wageni hawakujua wamekaribisha na malaika.!
 
Ila ana dada yake pia ni mwanasheria anaitwa Dr. hawa Sinare na pia huyu mama alikuwa ni hodari sana kwa kuandika mikataba mingi sana katk Tanzania na hasa kipindi cha Mkapa
 
Kwa wale walisoma Sheria UDSM wanamjua na pia sijui kwanini JK aliamua kumteua mdogo mtu na sio dada yake?
ni mama mmoja mwenye kipaji cha kujua kuongoza watu na kujichanganya na watu wake huku hakiweka heshima ya uongozi wake subirini mta muona kila state huyu sherehe za serikali hau hata certain entertainment hila agenda ni moja anakuja kuwabatiza U-CCM.

amelifanya hilo jambo kwa u-hodari huku labda sasa zamu yenu.
 
Ni kweli kabisa na pia I know some people katk family yake ni mtu mzuri sana
 
Back
Top Bottom