TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,269
- 1,585
Mwandishi wa gazeti pendwa nchini linalomilikiwa na kada maarufu wa CHADEMA amesema Ben ataibuka siku yeyote kuanzia leo. Zaidi nunua gazeti la January Mosi 2017.
CDF alikuwa Lost & FoundHuwezi kupata comment kwenye hii post maana gazeti ni la kwao na waliyemficha / aliyepotea ni mtu wao.
Kama nakumbuka hash tag ya Bensaanane mwaka juzi [HASHTAG]#BringBackOurCDF[/HASHTAG], alikuwa ananikera kweli na uzushi wake wa kuwa CDF kapotea, sasa kapotea yeye, kweli mtenda akitendewa....
Hahahaaaa STERLING AFI LAZINA AONEKANEMkuu mimi nilikuwa najiuliza tu maana sinema inaonekana imefikia patamu
Hiyo habari umeisoma unaloloma tu na mchezo wa kikaratasi kilichotupwa.Kuna kila dalili kwamba chadema na ben wanajua ben alipo. Tunachezewa mchezo tu hapa bt mda utaongea
Pia tujiulize nani amefuta posts za Ben kkue facebook?
Je kuna mtu Ben alimuamini sana akampa password yake?
Haya maigizo mbona ni zaidi ya sinema za Bollywood
Naloloma.Hiyo habari umeisoma unaloloma tu na mchezo wa kikaratasi kilichotupwa.
Sio kweli.Kubenea alipoandika habari kuhusu kutekwa na kuteswa kwa Ulimboka walimsifia sana, Leo anaandika kuhusu Ben Saanane kuonekana akiwa mitaani akidhurura, Kubenea anaonekana kanunuliwa na CCM.
Poor BAVICHA!!!
ha ha ha Ibra unasemaje?habari ya hapa njoo uone maigizo yenu.
Pia tujiulize nani amefuta posts za Ben kkue facebook?
Je kuna mtu Ben alimuamini sana akampa password yake?
Haya maigizo mbona ni zaidi ya sinema za Bollywood
ha ha ha Ibra unasemaje?