MwanaHalisi laivua nguo Tume ya Uchaguzi

nguo washavua siku nyingi sasa wanaoga maji taka, nilishangaa mwaka jana sikuona jina langu pale magogoni Kivukoni , kweli Tume hii ni ya ajabu angalau ya kenya ilikuwa na kigugumizi lakini hii kwa rafu ni Zaidi ya mchezaji mtukutu Matellezi wa Italy
 
Mchezo mchafu sana wamefanya, wazee wa kazi Chadema fatilieni hii issue,hata hivyo naamini nyinyi wenyewe meshaona tayari, pia vile vile wananchi wakiandamana kuhitaji haki yao wanapigwa bila sababu kwa mpango huu???
 
Na hayo yamefanyika na NEC. Kuna ya wao wenyewe CCM waliyoyafanya kama vile kupanda majukwaani na sillaha viunoni, kuzifyatua hewani, kuuwa mawakala wa CDM, kutumia polisi kuwakamata wabunge wa CDM na kuwafikisha mahakamani kwa makosa yasiyokuwa na mantiki nk nk.

Na badi CCM maji yalikuwa marefu!!!!
 
Sasa nimeamini kuwa NEC ni taasisi iliyochini ya chama cha magamba...hii ni aibu kubwa sn.
 
Tume yetu ya uchaguzi +ccm ni janga kuu la Taifa, nani atakeiponya taifa letu na janga hili, vijana tuamkeni
 


WENYE KADI MBILI KWENYE DAFTARI
clip_image002.gif
NSESO MBOJE 05148105
clip_image004.gif
NSESO MBOJE KULIKA 24150205
clip_image006.gif
NSHOMA KASHINJE PIMBI 05148661
clip_image008.gif
NSHOMA KASHINJE PIMBI 44811158
clip_image010.gif
SAYI JISENA 05148664
clip_image012.gif
SAYI JISENA MBOJE 24150187



clip_image014.gif

MPIGA KURA ALIYEONGEZWA AMBAYE HANA JINA
KADI NAMBA 29611769
TAREHE YA KUZALIWA 02/10/1987

 
Sikio la kufa... Sishangai kwani nilijua kuna madudu yamefanika ila tu sikuwa na ufahamu wa aina ya madudu
 
duh kumbe leo nimegundua kuwa nec ni national enslaving company

naionea huruma tanzania ikiwa kubenea na mwanahalisi yake, ambalo ni baragumu la chadema piga ua, ambalo linavuta michuzi kilaini kutoka kwa msomali bashe (kupitia kwa mkurdi rostam na mmasai wa kuandikishwa lowassa) alimradi kikwete na ccm wanaandikwa vibaya, anageuka kuwa "source" ya kuaminika ya kuitolea matamko ya jazba yasiyo na mshiko, tumekwisha!
 
Mwenzenu mi nadhani naota baada ya kusoma huo uzi inabidi kesho nitafute huyo source ya hizi habari,lakini kama ni kweli juu ya chanzo cha habari na ikawa kweli hayo madudu,basi kuna haja ya kufikiria vinginevyo,la sivyo hawa nyang'au wanatudharau sana kuna haja ya viongozi wa chadema watuambie wao wamefanya uchunguzi na wamegundua nini kisha ikibidi tulianzishe na moto uwake tu,maana hapa sanaa na dharau vinaendelea kwa kiwango cha kutisha.
 
naionea huruma tanzania ikiwa kubenea na mwanahalisi yake, ambalo ni baragumu la chadema piga ua, ambalo linavuta michuzi kilaini kutoka kwa msomali bashe (kupitia kwa mkurdi rostam na mmasai wa kuandikishwa lowassa) alimradi kikwete na ccm wanaandikwa vibaya, anageuka kuwa "source" ya kuaminika ya kuitolea matamko ya jazba yasiyo na mshiko, tumekwisha!

Ni bora uwaachie NEC wenyewe wajibu tuhuma hii siyo kenge wewe. Kama NEC wamekutuma uwajibie, basi tuonyeshe barua yao, kenge wewe.
 
2015 hata akiwa amekufa huyu kiravo tukamate wanawe 2 tuwanyonge badala yake. anaangamiza taifa kwa upumbavu tuu.
 
Nauliza tu, hivi ni lini CCM wamewahi kuilalamikia NEC kuhusu daftari? Wamekaa kimya kwa sababu wao ndiyo wanaonufaika na madudu haya ya NEC.
 
Back
Top Bottom