Mwanafunzi mwaka wa pili chuo cha sanaa na sayansi ya jamii amefariki baada ya kupigwa na radi eneo la chuo!..R.I.P brother
Jina lake bado halijafaamika vizuri nimesikia tu tetesi lakin sio vizuri kusema bila uhakika but nimemuona tu marehemu..*sad*
Nawewe sasa hata jinsia unashindwa kutuambia? Ungefanya uchunguza hata kidogo ukatupasha habari maana roho zetu juu kuna ndugu na jamaa huko. Hebu jaribu kuulizia vizuri bwana.
Dodoma ni eneo kame, inakuwa aje kunakuwa na radi kali hivyo?