Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

Ingefaa kuitaja hiyo taasisi kwa manufaa ya shule zingine zisipokee msaada kutoka taasisi hiyo

Wataalamu wa sheria, je familia ya marehemu inaweza kuchukua hatua gani za kisheria dhidi ya taasisi iliyosababisha kifo hicho?
Ukitoka nduki kufanyia taarifa ya kusikia bila kuichakata kung'amua maswali na majibu muhimu unaweza ukajikuta unajidhalilisha mwenyewe.

Je walialikwa wanafunzi 7 pekee kula hiyo futari au walipewa wakajiandalie shuleni?

Wangapi walipewa msaada huo?

Wangapi wameripotiwa kupata kadhia hiyo zaidi ya wanafunzi hao 7?

Mtoa taarifa amehojiana na Imamu+Sheikh wa Msikiti kuhusiana huo msaada na kama kilipikwa hapo Msikitini na wengine wakala?

Umbali kutoka Msikiti hadi shuleni umekadiria?

Walianza kuugua pale pale Msikitini au walipofika shuleni?
 
Vyovyote iwavyo chakula cha jumuiya usalama wake huwa mdogo kutokana na historia ya watu weusi kutokua na usafi wa maandalizi ya chakula. Mwingine anapengea makamasi kwenye kusonga ugali humohumo mwingine hajanawa katoka chooni anaendelea na mapishi.
Pole kwa wahanga.
 
Umekwenda mbali sana.Na unajieleza wewe ni nani.
Wanafunzi wa kiislamu..
kula futari..
Msikiti....
jumuiya ya kiislamu....
Mimi nina shaka huyo mtoto wewe umehusika kummaliza ili upate habari uipendayo.
mkuu mbona unakuza mambo. hakukua na haja ya hayo yote. ni mambo tu ya kawaida. food poisining inaweza kutokea hata majumbani mwetu. mathalani upishi usafu na maandalizi na ubora wa vyakula ni mambo ya msingi ukiteleza inaweza leta shida. pia wengine wana allergies ikapelekea shida hiyo. mambo mengine tusitazame kwa uadui.
 
Vyovyote iwavyo chakula cha jumuiya usalama wake huwa mdogo kutokana na historia ya watu weusi kutokua na usafi wa maandalizi ya chakula. Mwingine anapengea makamasi kwenye kusonga ugali humohumo mwingine hajanawa katoka chooni anaendelea na mapishi.
Pole kwa wahanga.
India watu wanakufa kwa mamia kwenye karamu wala si weusi na hawajaacha kula biriani na kachori zao siku za sherehe.
 
mkuu mbona unakuza mambo. hakukua na haja ya hayo yote. ni mambo tu ya kawaida. food poisining inaweza kutokea hata majumbani mwetu. mathalani upishi usafu na maandalizi na ubora wa vyakula ni mambo ya msingi ukiteleza inaweza leta shida. pia wengine wana allergies ikapelekea shida hiyo. mambo mengine tusitazame kwa uadui.
Mimi nimejaribu kuwa na fikra kama zako lakini aliyeyakuza ni huyo daktari au nesi wa hiyo hospitala ambaye ameona ataje futari,msikiti,jumuiya ya kiislamu.
 
Back
Top Bottom