Kwa simu jina la shule linaandikwa kwa mfumo gani?
mkuu naomba unijulishe mazngira na perfomance ya kaliua high tabora urambo kama unafaham plzzzzz
Mliopangiwa. Njombe secondary mbona hamjitokezi?
Kuna combi za xayanc apo UMBWE ?
Habari ndugu, mdogo wangu kachaguliwa Arusha Tech kwa comb inayosomeka MEC, naomba mwenye uhakika aniambie MEC ni medical au mechanics?
Naomba msaada wa faster tafadhari
No. S0324/0061
Sex::- M
GPA:- 2.6
CRASS:- MERIT
DETAILS SUBJECT
CIV - 'E' HIST - 'C' GEO - 'B' KISW - 'B' ENGL - 'B+' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D'
Amemaliza Lindi Sec School ila kachaguliwa kwenda shule ya Lyamungo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kombi HGE.
=========================
NO:- S0324/0048
SEX:- M
GPA:- 1.6
CLASS:- CREDIT
DETAILS SUBJECT
CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'E' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' COMP STUD - 'E' B/MATH - 'D'
Huyu hajachaguliwa kabisa licha ya kuna matokeo hayo hapo juu.
TANZANIA TUNALALAMIKA JUU YA WANAFUNZI WA SAYANSI ILA MBONA TUNAWAVUNJA MOYO WATAALAMU HAWA ??
Anayeifahamu kiundani Msalala sek iliyopo songea anipe habar anko wangu kachaguliwa hapo
oi mwenye ujuzi abt umbwe naomba anambie, nna mdogo wang kachaguliwa uko, je academic, na mambo mengne yapoje?
Kuhama Shule Inawezekana? Na Ni Process Zipi Znafuatwa Ili Kufanikisha Kuhama? Msaada Tafadhali, Nimepangiwa Kongwa Sec P.C.B Yeyote Aliepangiwa Pale Anijulishe Tafadhali.
Mkuu Naomba Msaada Wako Tafadhali, Naweza Nkahamia Hapo?Comb Yangu Ni P.C.B Nimepangiwa Kongwa Sec Nataka Nihame Aisee.