Mwana JF tuambie...

tena nikikuona wewe ndo nalizidisha sema nimekosa dimpoz tu yani lingekumaliza kabisa..lol

hahahahahahahahhahhahahha lohhhh
Hizo dental ziko hapo badala ya dipoz .. usema ukweli unatabasamu la kufa mtu .. lol
 
sema na uhendsamu nao unachangia...lol...ebu nipe sifa zangu bana usinibanie....

hahahahahh we Gozo loohh
ungeona jinsi navyocheka hapa ungekimbia...
unanipa raha kwa kweli . Hiyo avatar usifikirie kubadilisha hata siku moja..
hahahahah lol

maaana jinsi hilo tabasamu lilivyotawala huo uso lohhh
mpaka macho nusu kufunga, mashavu mashavu yamejazia kimtindo
kama vile Pavlova na Kiwi Fruit kwa juu.. kwa ujumla uso bado sijajua shape
yake bali umekaa kama kipande cha chocolate mud cake kuongeza utamu
pua yako ni kama strawberry kwa juu.. Bado nafanya uchunguzi kama una shingo
ama laa..(hata na hivyo haijalishi kama unayo au huna) maana reception (uso) umekamilika
una lips pana za kufa mtu sjui nikufananishe na LL CoolJ.?? maana ni kama mapacha vile.
na hizo dental mmhhhh theluji za antarctica hazioni ndani.. ningependa kumalizia na nywele..
Kwa sasa si wezi kuzihesabu vizuri .. ngoja niazime miwani narudi hahahahahh lol
 
Back
Top Bottom