Dena bana ....anapigia whisky Fairway mbaaaall hataki wadandiaji
mi nipo kwenye diet sili junk food dear... Ila asante.. Umentamanisha!
Niko kwenye kifodi, narudi home.
Niko hapa nje kwetu napunga upepo na kinokia changu nabarizi chitchat.
'kifodi' arusha hiyo. Kifodi cha wapi?
Natoka Kusali msikitini. Cant afford your style of living. Bora nirudi kwa muumba wangu asaa ingawaje sitaipata dunia lakini naweza kuambua akhera.
I still find each day too short for all the thoughts I want to think, all the walks I want to take, all the books I want to read, and all the friends I want to see.
He. he heeeeeeeee
we gozo wewe nyumbani kunani mpaka ukalale guest.....? Au upo safarini? maana guest ni nyumba za wageni la sivyo una yako mambo...!