Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Niliwahi kukaa na kaka yangu mwezi mmoja baada ya kumaliza chuo ikawa lunch na diner anakula nyumbani, alishangaa jinsi gharama zilivyopungua kwa huo mwezi, so inawezekana.
Sasa jirani inabidi nipange ratiba ya kukutembelea, hiyo bajeti inatutosha kabisa.


Ewaaa karibu tupunguze gharama shemeji...


Naomba kuijua profession yako mkuu


Profession yangu? Mkata bima...


Yupo humu subir nimtafute aje athibitishe


Ahhahahaha mkuu, hayupo I know well-oo!!!
Kuna mtu nampenda huku JF naogopa nikisema nitamkosa bure!
 
Kuna mahali nimehamia miezi minne sasa yaani najutia dunia!
15,000TZS na kuendela pa day
Detail:
Asubuhi: 3,500-4,000TZS. Maziwa au chai kikombe kidogo...500, andazi/chapati..500, supu...3000
Mchana: 5,000-6,000TZS.
Ugali....2500, wali.....3500-4000
Jioni: 5,000-6,000TZS.
Ugali....2500, wali.....3500-4000, pilau....4000. Ukila ugali kuku ni 3500
Nahapo sinywi bia. Soda sio lazima sana maji kama kawaida......tushauliane aiee. naona kwa mwezi inakula kwangu maana kipato chenyewe sio kikubwa kwa kuhimili hii gharama
Mlo wa mchana unaweza kujazia soft food au maji tu kama asubuhi umepiga supu na vitafunwa vya kutosha, mara nyingi mimibnafanya hivi, mchana njaa ikinibana nakula isiponibana napotezea kula....jioni kula chakula ni a must!!!

Kuna sehemu zingine hela zinateketea kwelikweli
 
Back
Top Bottom