Mwamvita Makamba apandishwa cheo

Status
Not open for further replies.
Acheni kuonglea watu jamvini. Tabia mbaya hii. Pelekeni ujinga huu kwenye globs. Angekuwa kwenye politics may be ingekuwa valid kumwongelea lakini personal stuff, Naaaah..Stop discussing gossips! Remember JF is the home of great thinkers, unless JF has become the home of great yappers!
mkuu jukwaa la celebrities lingefutwa basi
 
7818.jpg

166475_138713066189316_100001518700636_233851_7906334_n.jpg

waliosoma TWITTER FEEDS za MWAMVITA hawakuamini maneno anayoandika juu ya hii lawama
 
Hongera zake du hivi bado mnatembelea michuzi blog?
Mkuu bado tunatembelea michuzi blog inatupa breaking news kwa watu tunao
safiri mara kwa mara.Ila si maanishi ni mkali kuliko JF.Ukiwa haupo tz hata kwa siku moja ni budi
uingie blog tofauti ili upate habari zaidi
 
Si useme ameandika nini?si watu wote wana ingia hiyo kitu mnaita twita au kitabu cha sura,sori ingilishi yangu not richabo
7818.jpg

166475_138713066189316_100001518700636_233851_7906334_n.jpg

waliosoma TWITTER FEEDS za MWAMVITA hawakuamini maneno anayoandika juu ya hii lawama
Si useme alindika nini si wote tuna ingia twita na sura ya kitabu,
 
Si useme ameandika nini?si watu wote wana ingia hiyo kitu mnaita twita au kitabu cha sura,sori ingilishi yangu not richabo
7818.jpg

166475_138713066189316_100001518700636_233851_7906334_n.jpg

waliosoma TWITTER FEEDS za MWAMVITA hawakuamini maneno anayoandika juu ya hii lawama
Si useme alindika nini si wote tuna ingia twita na hiyo kitu inaitwa sura ya kitabu,
 
7818.jpg

i

Hawa wazungu walikuwa taaban kusaidiana na ndugu zetu kutafuta maiti na watu walionusirika

IMG_6975.JPG

Then VODACOM waliamua kuwa bize kufanya yafuatayoooo

IMG_9142.jpg

wakati mnahangaika kutafuta Maiti za watoto wenu na ndugu zenu hawa walisema watakaosa pesa na wataingia hasara kubwa so wakaendelea kujirusha kama kawaida

Watu wanalia wao wakapanda kwenye limo na tabasamu la nguvu.HIVI kabla ya mashindano walisimama kimya kuwakumbuka wahanga?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom