Ng'wanambula
Senior Member
- Oct 2, 2011
- 197
- 53
Afungiwe kwa kosa gani?
1. Yule goalkeeper wa JKT RUVU alionyesha tangu mwanzo dalili za kujiangusha kila mara ili kupoteza muda. Inaonekana lengo la JKT Ruvu lilikuwa ni kutafuta sare na sio ushindi.
2. Lile lilikuwa ni shambulizi, goalkeeper alitoka akaupanchi mpira, akaanguka wakati mpira ukiendelea. Hivyo ilikuwa move lazima ikamilike kwanza
3. Mbona baada ya kujiangusha, akafungwa, akapewa ile kadi ya njano, mbona hakujiangusha tena?
4. Janja yake ya kupoteza muda kwa kujiangusha ilishtukiwa