Mwalimu wa tution kanikatisha tamaa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Hellow guys

Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.

Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile

Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone

Mimi : sawa kaka

Hapa nifanyeje na huyu mtoto
 
Aangalia kwanza Wazazi wake nao wako smart kwa kichwa au ndiyo Dogo karithi akili za Wazazi wake!!??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hellow guys

Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.

Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile

Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone

Mimi : sawa kaka

Hapa nifanyeje na huyu mtoto
Mwanao jinsia Gani na Mwalimu jinsia Gani... Maana siku izii maadili ya walimu Yamepolomoka.... Isije ikawa Kuna namnaaaaa... Mwalimu anasilikizia...
 
U
Hellow guys

Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.

Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile

Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone

Mimi : sawa kaka

Hapa nifanyeje na huyu mtoto
Koo wenu MNa akili au unataka mbebesha mtoto mzigo ambao sio wake
 
Hellow guys

Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.

Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile

Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone

Mimi : sawa kaka

Hapa nifanyeje na huyu mtoto
Si dhambi kuwa mzito wa akili ila si salama saana kumkazania huko...jaribu kuongea nae mwenyewe kwa namna ya kushauriana umsikilize maoni yake afu umshauri ajaribu masomo mengine ya ujuzi. Atakachoona kinamfaa msikilize
 
Hellow guys

Dah nina mtoto wa wa ndugu yangu ambae binafsi niliamua kumsaidia katika masom yake nikampeleka tution.

Jana nikapiga simu kwa mwalimu wa tution kuuliza maendeleo yake vipi dah sikutalajia ajibu vile au kupata feedback ile

Mwalimu: mzazi mwanao ni mzito sana ndio maana ata sijakudai hela ya tution ya miezi miwili mwanao hana mwelekeo wowote ule nashindwa kuelewa nitumie njia gani ila ngoja tuone

Mimi : sawa kaka

Hapa nifanyeje na huyu mtoto
Mpeleke Veta mkuu, elimu ya ma fiziksi, history na hesabati it’s not for everyone…mpeleke veta apate elimu kwa vitendo mbona atafanya vizuri tu
 
Back
Top Bottom