Natafuta kazi

Mussa Lucas

Member
Jun 12, 2022
16
25
Naitwa Augustine Lucas, Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 25. Mzaliwa wa Mkoa wa Geita, nimhitimu katika Chuo Cha Bandari Dar Es Salaam, course niliosoma ni Clearing forwarding and port management,
Nina uzoefu katika masuala yote ya Port operations.

Nipo hapa natafuta kazi yoyote katika makampuni ya clearing Forwarding, shipping line, logistics. Nipo tayari kuanza kazi hata Leo hii, kwasasa nipo Dar es Salaam.

Namba yangu ni 0757804843
 
🥲kozi zingine hazinaga ajira ,,Kuna bandari ngapi nchini ?!
😅😅Unajuw ports ni hizi za kweny ukingo wa maji tu?...Basi clearing and forwarding hata boarders zote plus viwanja vya ndege anaweza kufanya kazi ....Hao wapo vizuri kweny ishu za forodha na mifumo kama TANCIS na TESWS.
 
😅😅Unajuw ports ni hizi za kweny ukingo wa maji tu?...Basi clearing and forwarding hata boarders zote plus viwanja vya ndege anaweza kufanya kazi ....Hao wapo vizuri kweny ishu za forodha na mifumo kama TANCIS na TES
😅😅Unajuw ports ni hizi za kweny ukingo wa maji tu?...Basi clearing and forwarding hata boarders zote plus viwanja vya ndege anaweza kufanya kazi ....Hao wapo vizuri kweny ishu za forodha na mifumo kama TANCIS na TESWS.
Hamna nafasi za kazi ndo ukweli ,haukuambiwa utaajiriwa ukimaliza kozi flani
 
Naitwa Augustine Lucas, Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 25. Mzaliwa wa Mkoa wa Geita, nimhitimu katika Chuo Cha Bandari Dar Es Salaam, course niliosoma ni Clearing forwarding and port management,
Nina uzoefu katika masuala yote ya Port operations.

Nipo hapa natafuta kazi yoyote katika makampuni ya clearing Forwarding, shipping line, logistics. Nipo tayari kuanza kazi hata Leo hii, kwasasa nipo Dar es Salaam.

Namba yangu ni 0757804843
Waone DP world
 
😅😅Unajuw ports ni hizi za kweny ukingo wa maji tu?...Basi clearing and forwarding hata boarders zote plus viwanja vya ndege anaweza kufanya kazi ....Hao wapo vizuri kweny ishu za forodha na mifumo kama TANCIS na TESWS.
Alijibu kwa mihemko
 
Acha kumkatisha tamaa kijana mwenzio, clearing & forwarding companies zipo nyingi
 
Clearing forwading field ni fani inayodharauliwa sana tanzania wakati nchi zilizoendelea ni fani makini sana kama tz hamna bachelor yake hadi nairobi au south africa
 
Naitwa Augustine Lucas, Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 25. Mzaliwa wa Mkoa wa Geita, nimhitimu katika Chuo Cha Bandari Dar Es Salaam, course niliosoma ni Clearing forwarding and port management,
Nina uzoefu katika masuala yote ya Port operations.

Nipo hapa natafuta kazi yoyote katika makampuni ya clearing Forwarding, shipping line, logistics. Nipo tayari kuanza kazi hata Leo hii, kwasasa nipo Dar es Salaam.

Namba yangu ni 0757804843
Tunahitaji mfanyakazi kwenye kituo cha mafinzo ya ufundi stadi-Moshi Institute of Technology:

Awe na uwezo wa kufundisha English,Secretarial,Enterprenuarship ,communication.,....

Uwezo wa kutimua na muelekeza kweney program za computer nao ni muhimu

Kama upo tayari tuma cv na vyteti vyako kwa email mitcomputingtz@gmail.com au whatsap 0717157640

Kila kitu maelewano na unaaza kazi soon
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom