Mwalimu wa Kiswahili kwa Wageni

Eswa

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
214
533
Heri ya mwaka mpya wadau

Mimi ni Mwalimu wa Kiswahili kwa Wageni na nimethibitishwa na Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) mwaka 2019. Nina uzoefu wa miaka miaka 7 na nimefundisha wageni katika taasisi mbalimbali zikiwemo za kitaifa na kimataifa. Pia nimeshiriki kuweka kozi ya kiswahili kwa wazungumzaji wa Kingereza (Swahili to English Speakers) kwenye Duolingo.

Ninatafuta connection kwenye taasisi zenye wageni ambao wanahitaji kujifunza Kiswahili, ninatumia mbinu shirikishi katika ufundishaji na kwa kuzingatia misingi ya Elimu ya watu wazima.

Pia kama kuna walimu ambao wamethibitishwa na BAKITA na hawana uzoefu wa namna ya kufundisha pia ninafanya short training kwa kufundisha mada mbalimbali na kukupa nafasi pia ya kujaribu na kukujengea uwezo wa kuwa mwalimu mahiri.

Nitashukuru sana kama nitapata ushirikiano wenu.
Asanteni.
 
Jaribu hii Angel Josephat Natianota on LinkedIn: ONLINE SWAHILI TEACHER INDUSTRY: EDUCATION HR World Limited on behalf of…
 
Heri ya mwaka mpya wadau

Mimi ni Mwalimu wa Kiswahili kwa Wageni na nimethibitishwa na Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) mwaka 2019. Nina uzoefu wa miaka miaka 7 na nimefundisha wageni katika taasisi mbalimbali zikiwemo za kitaifa na kimataifa. Pia nimeshiriki kuweka kozi ya kiswahili kwa wazungumzaji wa Kingereza (Swahili to English Speakers) kwenye Duolingo.

Ninatafuta connection kwenye taasisi zenye wageni ambao wanahitaji kujifunza Kiswahili, ninatumia mbinu shirikishi katika ufundishaji na kwa kuzingatia misingi ya Elimu ya watu wazima.

Pia kama kuna walimu ambao wamethibitishwa na BAKITA na hawana uzoefu wa namna ya kufundisha pia ninafanya short training kwa kufundisha mada mbalimbali na kukupa nafasi pia ya kujaribu na kukujengea uwezo wa kuwa mwalimu mahiri.

Nitashukuru sana kama nitapata ushirikiano wenu.
Asanteni.
Nitakucheki kwa ajili ya training.
 
Mkuu , Mimi. Napambania hizo fursa za kuwafundisha wageni kiswahili hivyo naomba namba yako pm ili unipe training
 
Back
Top Bottom