Mwalimu wa diploma mwenye salary 1M lazima akae kazin miaka mingapi?

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Nina diploma ya chemistry na biology. Nimegraduate 2018 mpaka Leo sina Ajira
mwaka Jana Kuna rafiki yangu aliajiriwa akaniambia take home ni 480,000

Kiuhalisia mshahara wa 480k Naona ni Sawa na kusaini mkataba na umasikini

Kama ndani ya miaka 4 ntapanda madaraja hadi salary ya 1m nitaomba Ajira serikalini.

Vinginevyo kuniona nimeshika chaki forever itabaki story.

ITABAKI STORY FOREVER
 
Nina diploma ya chemistry na biology
Nimegraduate 2018 mpaka Leo sina Ajira
mwak Jana Kuna rafiki yanguu aliajiriwa akaniambia take home ni 480,000
Kiuhalisia mshahara WA 480k Naona ni Sawa na kusain mkataba n'a umasikini

Kama ndani ya miaka 4 ntapanda madaraja had salary ya 1m ntaomba Ajira serikaliin.

Kwa serikali hii ya CCM NI zaidi ya miaka 15 mzigon ndo utasoma 1M

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nina diploma ya chemistry na biology
Nimegraduate 2018 mpaka Leo sina Ajira
mwak Jana Kuna rafiki yanguu aliajiriwa akaniambia take home ni 480,000
Kiuhalisia mshahara WA 480k Naona ni Sawa na kusain mkataba n'a umasikini

Kama ndani ya miaka 4 ntapanda madaraja had salary ya 1m ntaomba Ajira serikaliin.

Vinginevyo kuniona nimeshika chaki forever itabaki story.

ITABAKI STORY FOREVER
Sasa kwa nini ulisomea ualimu kama ulijua mshahara ni Mdogo? Huu ndio unafki huu. Umejipotezea mda halafu unakuja kutafuta faraja na support huku.
 
Acha mbwembwe..wengine huko wanafanya kwakupatia mitaji namikopo yakuendesha biashara zao..
Wengine hutumia mbinu yakuoa aliyeajiriwa kwa faida ya hiyo mikopo
 
K
Nina diploma ya chemistry na biology. Nimegraduate 2018 mpaka Leo sina Ajira
mwaka Jana Kuna rafiki yangu aliajiriwa akaniambia take home ni 480,000

Kiuhalisia mshahara wa 480k Naona ni Sawa na kusaini mkataba na umasikini

Kama ndani ya miaka 4 ntapanda madaraja hadi salary ya 1m nitaomba Ajira serikalini.

Vinginevyo kuniona nimeshika chaki forever itabaki story.

ITABAKI STORY FOREVER
Kijana unae endesha LC300 unataka ajira ya ujira wa 480000 ya kazi gani? Tuachie watoto wa wakulima
 
Mkuu maisha ni kuchagua, mimi sasa nina zaidi ya miaka kumi kazini nikiwa Mwalimu wa diploma masomo ya sanaa, basic salary ni 780K na take home ni almost 500K+ weka na akina bayput, Crdb, nmb nk . Take home inabaki 200K,hatari sana yaani
Songesha maisha mzee as long as unatunza familia na kusomesha wanao
 
Mkuu maisha ni kuchagua, mimi sasa nina zaidi ya miaka kumi kazini nikiwa Mwalimu wa diploma masomo ya sanaa, basic salary ni 780K na take home ni almost 500K+ weka na akina bayput, Crdb, nmb nk . Take home inabaki 200K,hatari sana yaani
Na bado unaendesha Familia fresh ! Madogo wako shule na njia ya chooni haioti nyasi vijana wanashiba !! Hongera sana mkuu vijana tufanye kazi ! Mengine kujiongeza kwa akili za ziada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom