The Red Pen
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 517
- 204
Akaribie maisha mapya ya kisiwani, atumie umeme kwa mara ya mwisho pande hizo umeme ni hadithi, kama hajawahi panda meli ndio ajipange.
Asante mkuu.Vipi kuhusu imani za kishirikina,huduma za afya,barabara ,maji na usalama wa raia na mali zao?Maana kuna maeneo mengine mwalimu akipokea mshahara tu usiku anafuatwa kwa mapanga na kunyang'anywa kila kitu na wakati mwingine hata kutolewa uhai wake.