Mwalimu Raymond Mlasu afariki dunia!

The Fixer

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
1,365
583
Wana Jukwaa,

Aliyekuwa Mwalimu mkuu wa Idodi Iringa na aliyekuwa second master kigonsera Sekondari - Mbinga miaka ile amefariki dunia leo hospital ya Muhimbili kwa maradhi ya kisukari

Innallilah wainalilah riajulini!
 
Nliishi chin ya himaya yake kwa miaka miwl, ni miongon mwa watu walionifanya nifurahie maisha ya boarding kwa mikwara na vituko vyake ...
All in all, gone too soon , RIP Kamanda Mlasu ... we will mis u!!!
 
The Head-Master of Idodi Secondary former Second Master at Kigonsera Secondary School passed away at Muhimbili National Hosp yesterday afternoon. His last respect is expected to take place at Muhimbili today around 11.00 am, we will travel to Idodi Iringa for Last Respect, thereafter burial at Kilolo Dabaga. We expect to start our journey to Iringa at least by 12:00PM today.
 
Alikuwa second master Nikiwa Kigonsera form V. Wakati huo Bwana Shauri alikuwa Head Master. Let God put your soul wherever He feels suitable.
 
Return If Possible (rip)
Mrasu tutakukumbuka mkuu wetu idod
 
Alikua mwaka gani kigo , maana mi nilipita enzi za kina shelimo. Poleni sana wafiwa.
 
Tumeshazika jana hapa Kilolo na tunamshukuru mungu kwa yote na kwa kutupa Uzima
 
Mungu ailaze roho yake mahahali pema peponi
Alikua my ticha
Alinifundisha agriculture kutoka kidatlo cha kwNza mpaka cha nne
 
Wana Jukwaa,

Aliyekuwa Mwalimu mkuu wa Idodi Iringa na aliyekuwa second master kigonsera Sekondari - Mbinga miaka ile amefariki dunia leo hospital ya Muhimbili kwa maradhi ya kisukari

Innallilah wainalilah riajulini!

Kwanini usingeandika kwa kiswahili ? kuliko kuharibu lugha ya watu hivi?
 
Back
Top Bottom