Mwalimu Nyerere kwanini alichagua Twiga? Ni Mnyama dhaifu sana!

Tuanzie kwnye Majukumu ya Uchaguzi Wa Twiga mwenyewe, ni majukumu ya Rais au ni Majukum ya Taasisi fulani?
 
Mmepata kiongozi mbovu anayetia aibu taifa kwa kuongoza kienyeji na kidikteta, mnataka kumwangushia lawama Nyerere!!!
Mmebaini nchi nchi haiwezi kuendelea kwa ubabe wa mtu mmoja tena asiekuwa na akili..mnaanza kumsingizia Twiga!
Mmegundua nchi haitakaa iendelee kwa staili hii ya uongozi, mnatamani kuwa kama simba!

Upuuzi na uwendawazimu kabisa huu!! Tumieni vichwa vyenu kufikiri kwa akili, la sivyo mtakuja hata kufukua kaburi la Mwl mfanya tambiko bado nchi haitaendelea!
 
Huyu Twiga ana nini? Twiga ni alama ya Udhaifu, na hakupaswa kuwa alama ya kutuwakilisha.
Alikosea sana kufanya Twiga kuwa nembo ya taifa, ilitakiwa iwe Kondoo.🐏🐏

Screenshot_2019-11-01 Tanganyika Territory - Google Search.png

Alama ya twiga haikuanza wakati wa mwalimu, ilianza wakati Tanganyika territory ikiwa chini ya the league of nations (1920's)
 
Nijuavyo mimi Dunia nzima Kihistoria nchi zimekuwa zikichagua Wanyama kama alama inayowawakilisha, yaani unaweza kusema mnyama wa nchi, na wengi hapa huchagua mnyama mwenye sifa ya UKUU na UTAWALA, ndo maana nchi nyingi kubwa kama Ujerumani, USA, na Falme nyingi kubwa Duniani wamekuwa wakichagua ndege Tai, huyu ana sifa za ajabu kama nguvu, uvumilivu, ufanisi na pia mwendo mkali kwa kifupi anatawala anga, kwanza wanasema Tai ana wa kuishi mpaka miaka 70, huku kwetu kwa nini hatukuchagua Simba? Huyu Twiga ana nini? Twiga ni alama ya Udhaifu, na hakupaswa kuwa alama ya kutuwakilisha.

Simba ndo Mfalme na mwamba Nyika, hata kwenye Biblia na vitabu vingine vitakatifu sijaona mahali Twiga akitajwa isipokuwa Simba au Ndege Tai, ...

Mfalme wa Anga Tai- USA, Ujerumani na Falme kubwa Duniani!

View attachment 1251330

Urusi brown bear.

View attachment 1251332

Huyu ndo alifaa awe alama yetu, Simba Mfalme wa Nyika na siyo huyo twiga wenu, kwanza analiwa na Simba!
View attachment 1251335
Hongera kwa kujenga hoja. Lakini ni vema ukajua kuwa Dunia ilikuwepo kabla yako. Naomba ushahidi wenye mashiko unaothibitisha udhaifu wa Twiga
 
Twiga na mwenge ndo tegemeo la ccm kupumbaza watu,check wakenya wana nembo ya simba,USA tai,uarabuni majambia.twiga ni unyonge,upole,
 
Huyu mnyama Nyumbu ndio Mungu ametubariki watanzania na ndio anastahili kuwa alama na nembo ya Taifa lakini kinyume chake tunamdharau kweli kweli. Ukiangalia katika kuchangia pato la Taifa katika maswala ya utalii na kitoweo, hakuna mnyama hata mmoja anayemfikia, naweza kusema kuwa hata madini tunayoyachimba hayawezi kufikia fedha ambazo watalii wanakuja kwenye msimu wa huyu myama aliyebarikiwa n a mwenye akili ya kipekee anapofanya safari za kuvuka mto mara. Siri hii siku tukigutuka ndio tanzania itafunguka kimaendeleo. Hakuna heshima yoyote tunayompa myama huyu kuanzia kwenye timu za taifa na kadhalika. Huyu ndio rafiki yetu na urithi wetu kuliko hayo ma twiga , kakakuona nyati na simba tunatoyaabudu lakini hayana baraka kwetu.

1572666996996.png
 
View attachment 1251596
Ngoja nicheke mie
 
Leo nakuunga mkono wewe mwana Lumumba, kweli tulitakiwa kuwa na nembo ya mnyama mwenye nguvu ma akili. Nahisi twiga katufanya tumekuwa wapole kama tulivyo
Lengo la twiga kama "totem" yetu pendwa ni:

1. Amani
2. Upole, uvumilivu
3. Ukarimu, unyenyekevu.

Hivi ndo vimeilinda Tanzania. Baba wa Taifa hakutaka kuchagua mnyama wa tabia na sifa za kibabe au mabavu kwa sababu kisaikolojia ingewafanya Watanzania wazichukue na kuzivaa sifa na tabia za totem huyo.

Lengo la Tz siyo kutumia ubabe na mabavu, hivyo Twiga anafaa.
 
Mmepata kiongozi mbovu anayetia aibu taifa kwa kuongoza kienyeji na kidikteta, mnataka kumwangushia lawama Nyerere!!!
Mmebaini nchi nchi haiwezi kuendelea kwa ubabe wa mtu mmoja tena asiekuwa na akili..mnaanza kumsingizia Twiga!
Mmegundua nchi haitakaa iendelee kwa staili hii ya uongozi, mnatamani kuwa kama simba!

Upuuzi na uwendawazimu kabisa huu!! Tumieni vichwa vyenu kufikiri kwa akili, la sivyo mtakuja hata kufukua kaburi la Mwl mfanya tambiko bado nchi haitaendelea!
Naona umepumua sasa. Hivi jf isingekuwepo si ungepasuka mkuu maana usingepata pa kutema mavi haya.
 
Huyu mnyama Nyumbu ndio Mungu ametubariki watanzania na ndio anastahili kuwa alama na nembo ya Taifa lakini kinyume chake tunamdharau kweli kweli. Ukiangalia katika kuchangia pato la Taifa katika maswala ya utalii na kitoweo, hakuna mnyama hata mmoja anayemfikia, naweza kusema kuwa hata madini tunayoyachimba hayawezi kufikia fedha ambazo watalii wanakuja kwenye msimu wa huyu myama aliyebarikiwa n a mwenye akili ya kipekee anapofanya safari za kuvuka mto mara. Siri hii siku tukigutuka ndio tanzania itafunguka kimaendeleo. Hakuna heshima yoyote tunayompa myama huyu kuanzia kwenye timu za taifa na kadhalika. Huyu ndio rafiki yetu na urithi wetu kuliko hayo ma twiga , kakakuona nyati na simba tunatoyaabudu lakini hayana baraka kwetu.

View attachment 1251596
Kabisa. Na timu ya taifa ya wanaume ingeitwa Nyumbu stars. Ila hawa wanyama kwa kiasi wanachangia mood ya nchi. Hata kwenye unabii wa Daniel falme ziliwakilishwa na wanyama wakaliwakali.
 
Huyu mnyama Nyumbu ndio Mungu ametubariki watanzania na ndio anastahili kuwa alama na nembo ya Taifa lakini kinyume chake tunamdharau kweli kweli. Ukiangalia katika kuchangia pato la Taifa katika maswala ya utalii na kitoweo, hakuna mnyama hata mmoja anayemfikia, naweza kusema kuwa hata madini tunayoyachimba hayawezi kufikia fedha ambazo watalii wanakuja kwenye msimu wa huyu myama aliyebarikiwa n a mwenye akili ya kipekee anapofanya safari za kuvuka mto mara. Siri hii siku tukigutuka ndio tanzania itafunguka kimaendeleo. Hakuna heshima yoyote tunayompa myama huyu kuanzia kwenye timu za taifa na kadhalika. Huyu ndio rafiki yetu na urithi wetu kuliko hayo ma twiga , kakakuona nyati na simba tunatoyaabudu lakini hayana baraka kwetu.

View attachment 1251596
Kampuni yetu ya kutengeneza magari iitwayo nyumbu inaendeleaje huko? Au imeliwa na mamba ilipokuwa inavuka mto Mara?
 
Back
Top Bottom