Hivi Kitokesya alikuja kuwa mwalimu Meta? Namkumbuka akiwa Iyunga enzi hizo, ila yeye ukali wake ulikuwa ni kwa Form One tu, sijui kwa nini mwalimu yule alikuwa hawapendi bazokaKitoksya(RIP) Meta sec. Nilikua pale 2003-2005
Kuna kitu kilikuwa kinaitwa Mwakalindile... Ifunda Technical Secondary. Tulizowea kumwita Brigedia...
Nestory Kaimukilwa a.k.a Sura mbaya wa kitendaguro! we hacha tu! alikuwa Rwamishenye Primary school (Kashabo)!wakuu,
katika almost shule zote hua hawakosekani wale walimu wa kali balaa ambaye ukiingia kwenye 18 zake ni lazima ueleze. kwa mfano mimi shule ya msingi lugalo niliposoma kulikua na Mwl.Chavala,Mwl.Kinyogori,Mwl.Bango,Mwl.Getwa,Mwl.Buchwa aisee hawa walimu sitawasahau kamwe. maticha,walikua wana mwaga stiki kama hawana akili nzuri aisee,
then makongo kulikua na Kisarika, Yeyeye,Malongori na Afande Miraji (thou hakua mwalimu). ebana kuna siku tulipata msala asembo baada ya kuimba vibaya wimbo wa taifa, huwezi amini marehemu Afande Miraji single-handedly alizungusha stiki shule nzima kwanzia form 1-6 pale asembo af akarudia raundi mbili. kuna jamaa kesho yake akaomba uhamisho baada ya kukamatwa tena na afande miraji hakwenda zamu akala stiki 15 za adabu. vp mwl gani ushakutana nae hadi leo huwezi msahau?
Kuna kitu kilikuwa kinaitwa Mwakalindile... Ifunda Technical Secondary. Tulizowea kumwita Brigedia...
Mwaka gani?
Me nlikuwa pale enzi ya Kigava.
Kijana kijana unaletha mchedho, lala tchini....brigedia alikuwa hana utani.nakumbuka kithembe chake....by the way labda mkuu hukumkuta kuna mtu ifunda alikuwa mkuu wa taaluma.tulikuwa tunamwita mkono wa chuma.alikuwa na kengeza kabla hajakuchapa sura yake tu chozi linatoka.rip mrema!!

Sie ni wa enzi za akina Kaguo, Mbungi (Kiswele), Kocha, Luhwago (Kaka)
dahh Kigava alikuwa noma ukijipindua kwenye anga zake. Ila akiwa class utadhani sio yeye vile, anakuwa mtu poa sana.
wakuu,
katika almost shule zote hua hawakosekani wale walimu wa kali balaa
ambaye ukiingia kwenye 18 zake ni lazima ueleze. kwa mfano mimi shule ya
msingi lugalo niliposoma kulikua na
Mwl.Chavala,Mwl.Kinyogori,Mwl.Bango,Mwl.Getwa,Mwl.Buchwa aisee hawa
walimu sitawasahau kamwe. maticha,walikua wana mwaga stiki kama hawana
akili nzuri aisee,
then makongo kulikua na Kisarika, Yeyeye,Malongori na Afande Miraji
(thou hakua mwalimu). ebana kuna siku tulipata msala asembo baada ya
kuimba vibaya wimbo wa taifa, huwezi amini marehemu Afande Miraji
single-handedly alizungusha stiki shule nzima kwanzia form 1-6 pale
asembo af akarudia raundi mbili. kuna jamaa kesho yake akaomba uhamisho
baada ya kukamatwa tena na afande miraji hakwenda zamu akala stiki 15 za
adabu. vp mwl gani ushakutana nae hadi leo huwezi msahau?
wakuu,
katika almost shule zote hua hawakosekani wale walimu wa kali balaa ambaye ukiingia kwenye 18 zake ni lazima ueleze. kwa mfano mimi shule ya msingi lugalo niliposoma kulikua na Mwl.Chavala,Mwl.Kinyogori,Mwl.Bango,Mwl.Getwa,Mwl.Buchwa aisee hawa walimu sitawasahau kamwe. maticha,walikua wana mwaga stiki kama hawana akili nzuri aisee,
then makongo kulikua na Kisarika, Yeyeye,Malongori na Afande Miraji (thou hakua mwalimu). ebana kuna siku tulipata msala asembo baada ya kuimba vibaya wimbo wa taifa, huwezi amini marehemu Afande Miraji single-handedly alizungusha stiki shule nzima kwanzia form 1-6 pale asembo af akarudia raundi mbili. kuna jamaa kesho yake akaomba uhamisho baada ya kukamatwa tena na afande miraji hakwenda zamu akala stiki 15 za adabu. vp mwl gani ushakutana nae hadi leo huwezi msahau?
Mwalimu njowoka! Kiboko
mkuu unamuongelea Monsieur Kombaha wa kifaransa? aisee alikua anazingua kiserengeti aiseekuna mwl marehem kwa sasa ,Kombaha......alikua kiboko