Mwakyembe iombe radhi JF; Mazungumzo ya Kutoa bandari ya Mtwara haya hapa

huyo ndio mkono watu wanamsifia kwa kutoa madawati kumbe ni mtu anayeiuza nchi yetu kisirisiri halafu baadae anajitia kupiga kelele bungeni ndio maana wanampuuza wewe ndege na ardhi,madini au bandari wapi na wapi
 
MTU MZIMA Hata cjui namna ya kuwailiana na moderator.... nautaka niusome neno kwa neno---aliyesaini anyang'anywe degree yake......am fed up with this country

Naamini kwa ujumbe wako huu modereta ameshakupata nini unahitaji. Ila kabla hujahitaji huo msaada nashauri tumia search tools zilizopo hapa kwenye jukwaa kutafuta
 
Mikataba mikataba mibovu hakuna mfanyabiashara binafsi (mfano : IPPGROUP, AZAM GROUP, MOH'D enterprise, PrecisionAir n.k) anayeweza kukubali mikataba kama hii ni serikali dhaifu tu na mashirika ya Umma ndiyo inayoweza kusaini mikataba ya ajabu ajabu!
 
Mwakyembe unatupa mbachao kwa msala upitao
Je, kuukwaa uwaziri ndiko kuona jicho la kiroboto?
Angalia ngoma ikivuma sana hupasuka kiwambo
Umeamua kuunda kwa kijiti na hali kuna nyundo...
Yangu macho...
 
siamini kama humu jf kuna vilaza waliobobea na wasiopenda kushirikisha bongo zao katika kupima na kujadili hoja!, in short mleta hoja hajatuthibitishia kuwa serikali imeshakabidhi bandari ya mtwara kwa hao walebanon, ili tuamini tunataka tuone mkataba na sio maoni ya upinzani bila evidence, kwa mtazamo wangu mwakyembe is right and he has the reason to be full confident!

Nafikiri umejibu kwa hasira na hisia zako binafsi, na pia inaonekana hukuangalia bunge kipindi kile Wenje alipomuuliza Mwakyembe hilo swali. Issue ni kuwa Mh Waziri hakuwa na taarifa na hicho kitu, kakini alikuwa na sababu gani za msingi za kusema tatizo la Wenje kuuliza lile swali ni kwa sababu ya kutegemea taarifa za JF ilihali katika maelelezo yao kambi rasmi ya upinzani walieleza vyanzo vya taarifa ile? Nahisi JF kuna vilaza lakini WEWE ni KILAZA zaidi yao! Huna jipya!
 
Back
Top Bottom