Mwakyembe iombe radhi JF; Mazungumzo ya Kutoa bandari ya Mtwara haya hapa

Kwa mtu kama Mwakyembe ambaye , mbele ya Bunge amemsema waziri mwenza wa Uchukuzi wa zenji kuwa amechelewa
kujiuzuru , na kama kweli anaamini kujiudhuru ni jambo la heshima kama alivyokuwa anajitamba bungeni ,
ni muda muafaka kwa yeye kuwajibika kuomba msamaha kwa kubeza na kudharau kitu ambacho hana uhakika nacho
hakukua na ulazima wa yeye kuibeza JF wakati wizara yenyewe yeye kahamishiwa majuzi tu

mtanzania1989,

..WHAT??!!

..Mwakyembe alimtetea huyo Waziri wa Znz wakati walipokuwa pamoja kwenye press conference.

..sasa leo anamruka na kutoa matamshi hayo bungeni??
 
I propose that aliyesaini mkataba wa ndege ambayo haikuruka apigwe risasi in the open.

Jamani wanasheria hivi huu mkataba sio null and void kweli on account kwamba haikuruka???? Even though we do not know terms and conditions zilizopo=====shame on the firm depriving a poor nation.....we shall not pay that shameful Wallis--wanapoteza muda kwani tukitaa itakuwaje? repudiation method of settling debt

Kwa taarifa yako naenda kuishi mars------ni aibu tupu, tuweke sheria ya kupiga risasi wote wanao enda kinyume na sheria----intentionally, bye am on my way to the mars---tz isn't a place to live anymore.

LAWYERS YOUR POSITION PLSE

Mkataba ulishajadiliwa hapa JF kwa kirefu. Inawezekana ulikuwa bado hujawa memba. Tafuta tu hizo documents humu JF naamini utazipata. Ukikosa wasiliana na modereta kiongozi.

Mambo mengine hayahitaji hata ujuzi wa sheria kujua kwamba ni mkataba wa kipuuzi.

Ufisadi umetufikisha hapa sasa mpaka nchi inamegwa kufidia madeni.
 
mtanzania1989,

..WHAT??!!

..Mwakyembe alimtetea huyo Waziri wa Znz wakati walipokuwa pamoja kwenye press conference.

..sasa leo anamruka na kutoa matamshi hayo bungeni??

Ndiyo wanasiasa wetu hawa , kabanwa leo , kwa nini na yeye asijiuzuli kutokana na ajali ya boti ya Skagit ,
kajielezea vizuri kuwa yeye hausiki na hana mamlaka kuhusu usajiri wa hizo , ila mwisho wa siku akaleta ngebe
nyingine kuwa waziri wa uchukuzi wa Zenji amechelewa kujiudhuru , alitakiwa ajiuzulu tangu ajali ya kwanza ,
SASA COMRADE Mwakyembe , TUONYESHA UWAJIBIKAJI NA HESHIMA YAKO KWA KUOMBA RADHI KWA KEJELI ZAKO DHIDI YA JF KITU USICHOKIJUA
 
Mkataba ulishajadiliwa hapa JF kwa kirefu. Inawezekana ulikuwa bado hujawa memba. Tafuta tu hizo documents humu JF naamini utazipata. Ukikosa wasiliana na modereta kiongozi.

Mambo mengine hayahitaji hata ujuzi wa sheria kujua kwamba ni mkataba wa kipuuzi.

Ufisadi umetufikisha hapa sasa mpaka nchi inamegwa kufidia madeni.

MTU MZIMA Hata cjui namna ya kuwailiana na moderator.... nautaka niusome neno kwa neno---aliyesaini anyang'anywe degree yake......am fed up with this country
 
siamini kama humu jf kuna vilaza waliobobea na wasiopenda kushirikisha bongo zao katika kupima na kujadili hoja!, in short mleta hoja hajatuthibitishia kuwa serikali imeshakabidhi bandari ya mtwara kwa hao walebanon, ili tuamini tunataka tuone mkataba na sio maoni ya upinzani bila evidence, kwa mtazamo wangu mwakyembe is right and he has the reason to be full confident!

Mkuu, zile attachment mbili umezisoma? Au ulisoma haraka haraka ili uwahi kufuturu?
 
haya ndio matatizo ya kutojua lugha...hivi umesoma docs hizo au unafanya makusudi tu?!!

mwakyembe amekanusha kana kwamba hata kikao cha kujadili hili jambo hakikuwepo na hakuna mahali popote pale kuwa watu wamekaa na kupanga hawa walebanoni wapewe bandari ya mtwara.... sasa document hizo hapo zinamuumbua....
Siioni hiyo thread, nipe link. updates: okay nimeshaiona na kuzipakuwa niliondoa adobereader mchana huu ngoja niifunge upya, gdtym
 
Kama muungwana comrade MAGODI mwakyembe atakuja kuomb radhi hapa Jf (MAGODI= aliyenusurika na kifo)
 
Ndio raha ya jamii forum ukimwaga ugali wengine wanamwaga mboga kwani humu hata kama takwimu zitakuwa tofauti ni kidogo sana ila zina ukweli kwa for greater percentage. ndugu yangu Mpaka Kieleweke, na Mkono nae kila sehemu penye uhondo anakuwepo
 
Last edited by a moderator:
ile kazi ya kuajiri mkata vichwa vya mafisadi inatangazwa lini manake niko tayari
kuwapiga risasi haitoshi hawastahili kuzikwa na vioungo vyao vyote vimeungana
wametufikisha hapa tulipo.
 
Acheni waiseme JF,.hamjui kuwa wanazidi kuitangaza kila kukicha.Ni vyema hivyo wanavyoitaja maana wananchi wengi sasa wanaperuzi kurasa za jf.,ndio maana kila kukicha memba na guests wanaongezeka na kufanya wigo wa habari kuongezeka.

VIVA JF
 
Dk, Mhe, Mtani kuna hii kitu "If you can not defeat them join them" may be you should consider to join JF, otherwise you are going to join the other group. (Madalalali wa wa wa Bandari ya Mtwara).
 
mwana za pori? jamaa aliulizwa bungeni swali na wenje juu ya hii kampuni ya lebanon kupewa bandari ya mtwara ili kufidia deni....sasa katika kujibu jamaa akasema si kweli na akaongeza kwa kusema hii ndio tabu ya kutegemea taarifa za jamiiforums...
Asante kwa ufafanuzi. Wengi tulikuwa gizani kwani si wote wanaofuatilia vikao vya bunge. Itabidi atakiwe kumwomba radhi Wenje na JF.
 
Duh watu mlivyo respond haraka!

Nafikiri waziri hakusema kwa nia mbaya, Mwakyembe anajua nafasi ya JF kwenye sakata lake zima sidhani anaweza kuibeza hadharani kipuuzi namna hiyo!
 
JF we stood with you Mwakyembe ukiwa mgonjwa na leo unatutukana hadharani .It is not decent hata kidogo .Sasa tutakabana na kuanzia sasa hakuna kumuombea kiongozi yeyote wa CCM akiwa matatani .Ujinga huu kila siku tunaungana nao yet wanatuona wapuuzi

Hizo ndo shukrani za punda, yeye anadhani kuiongelea vibaya JF ndo anaondoa ukweli wa possibility ya Wallis kupewa bandari ya Mtwara..asisahau hata masuala ya EPA walitaka kupotezea eti ni habari za mtandaoni..! Lakini ukweli wote tuliushuhudia..!
 
Hivi Wenje hawezi kuomba mwongozo wa Spika kuhusu kwanza Dr. Mwakyembe kulidanganya Bunge na pili kuidhalilisha JF?!

Mwakyembe wakati mkiwa India na Mwandosya, Mwandosya aliishukuru JF kwamba ndiyo kilikuwa chanzo chake kikuu cha habari kutoka nyumbani.

JF ilikuwa nawe Mwakyembe begabega kwa wakati wa UGONJWA wako.

Leo unaikashifu JF? Waswahili tunasema USITUKANE WAKUNGA NA UZAZI UNGALIPO.
 
kama habari/taarifa kama hizi zingekuwa zinawafikia watz wengi zaidi na wakazielewa vizuri wangeshajua umaskini wao unatokana na nini na sijui kama ingefika hiyo 2015 tunayoisubiri
 
Dk, Mhe, Mtani kuna hii kitu "If you can not defeat them join them" may be you should consider to join JF, otherwise you are going to join the other group. (Madalalali wa wa wa Bandari ya Mtwara).
sijui kwenye red unamaanisha nini?kama mwakyembe kuwa member humu jf i can assure you anaingia na ID feki..i hope mods mtanipiga ban tena kwa kusema hili maana mna double standard sana nyinyi!!!!
 
Back
Top Bottom