Sie hatusemi kitu yeye kasema tuufyate sasa basi..............wameunda hawajaunda watajuana huko sisi tulilumbana akiwa mgonjwa huko India.............amerudi katuona sis ni ma "kachonchi kapanka" yaani wazabazabina fulani hivi..........
JH Mh Mwaki alicheza tulufu hasi na matokeo yake ndiyo haya,hata kama aliingiwa kwa gear ya kutuliza mzuka wa watanzania lakini alipaswa kupima upepo.Lakin kwa sasa kama ni treni imeshachomoka iko mbali na kuifukuzia kwa Taxi na Petrol yenyewe wakati mwingine ya foreni si lahisi.Alipaswa kuuchuna asiongee kauri alizoongea na media juu ya watetezi wake ambao ni wananchi na JF.Ndio hivyo imetoka na ujumbe ndio huo hata kama ni kweli ama kweli its too late.utakuwa hufikrii sawasawa kwani mjandala inayoendeshwa na watanzania kote wahusika(wanaojadiliwa huwa wanaifungua) wao,huu mjadala ni wa jamii hivyo ni haki kwa kila taarifa ifanyiwe kazi,Mwakyembe ni kiongozi wetu mwadilifu lazima tujadili kila hatua inayofikiwa,unahisi mleta taarifa hii amekosea kusema alichokibaini au tatizo ni nini,mbona FISADI ALISEMA ENOUGH IS ENOUGH lakini mpaka leo ukienda arumeru wanaongelea ufisadi na fisadi anazungumzwa mpaka na walalahoi wa kawaida mtaani,tumia histori pia katika kufikia baadhi ya mambo!
Sie hatusemi kitu yeye kasema tuufyate sasa basi..............wameunda hawajaunda watajuana huko sisi tulilumbana akiwa mgonjwa huko India.............amerudi katuona sis ni ma "kachonchi kapanka" yaani wazabazabina fulani hivi..........
Heshimuni ombi lake la kuufunga mjadala wa afya yake!