Rungu JF-Expert Member Feb 23, 2007 3,932 1,726 Dec 30, 2010 #1 Siku ya kwanza ya mwaka ni 1.1.11 halafu baadaye itakuwa 11.1.11 ikifuatiwa na 1.11.11 & 11.11.11. Shehe Yahya na wapiga ramli wengine mpo apo?
Siku ya kwanza ya mwaka ni 1.1.11 halafu baadaye itakuwa 11.1.11 ikifuatiwa na 1.11.11 & 11.11.11. Shehe Yahya na wapiga ramli wengine mpo apo?