Mwaka huu serikali yashindwa kuajili watumishi wapya wa afya kwa wakati

rweihimba

Member
Feb 3, 2010
9
2
Mwaka wa fedha 2012/2013 Serikali imeshindwa kutoa vibali vya ajira kwa wakati kama ilivyokuwa ikifanya miaka yote kutoa vibali vya ajira kwa watumishi wa kada ya afya mwanzoni mwa mwezi wa kumi kutokana na ukosefu wa pesa ya kulipa watumishi hawa wapya.
 
mh kwa kweli kazi ipo...hii ni liwalo na liwe aliyewaambia mgome ni nani?? hadi tena mwakani ila kwamba hata kama mgomo ukitokea msishiriki tena ...!!kikwete ni noooma
 
Mkuu fafanua sawa sawa. Umechanganya vitu viwili kwa wakati mmoja, yaani vibali na ajira serikalini.

1/Unaposema vibali unamaanisha Professional Lecense, Legal registration, Working Permission, Certificate Approval, ID Card etc?

2/Ni watumishi wa afya katika ngazi na kada ipi ya afya unaowazungumzia?

3/Nini uhusiano kati ya hivyo vibali na ajira?

4/Tatizo ni ajira au vibali vya kufanyia kazi?

5/Utaratibu wa kutoa hivyo vibali ukoje?

6/Kwani ni lazima kila mtaalam wa afya awe na hicho kibali ili afanye kazi?

7/Vipi kama mtu anataka kujiajiri au kuajiriwa sekta binafsi?

*This is Jamii Forum, a centre of critical thinkers, people need specific details before to contribute properly in your topic. Please try to explain it more.
 
Concrete pole pole,ajira mpya zote lazima ziombewe kibari WIZARA YA UTUMISHI halafu HAZINA wanasema pesa zipo au laa! BAJETI ya mwakahuu ni namba tu zilipelekwa pale bungeni wkt hazina haina kitu.
 
Back
Top Bottom