Mwaka 1993 kisa kugombana na kisu machinjioni mbele ya wachinjaji (Operation Gothic Serpent )

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,652
8,818
Mpaka kufikia kuandikiwa filamu na wamerekani wenyewe ni kisa cha kweli kilichotokea mwaka 1993 huko somalia ,Mogadishu.

kulitokea machafuko ya vita baina wenyewe kwa wenyewe huko somalia sababu za kisasa na madaraka.

Huku chama cha Alliance kikiwa kijimilikisha madaraka kupitia kiongozi wao Mohamed Farrah Aidid.

Kutokana kuwa kupishana na serikali upande wa marekani huko mogadishu kiliundwa kikosi maalumu kwa ajili ya kumkamata kikiwa na vikosi Bravo Company, 3rd Battalion na 75th Ranger Regiment.

Misheni hii ilianza 22 August – 13 October 1993. Kupitia muongozaji kamanda William F. Garrison wa kikosi maalumu kilichopewa jina Joint Special Operations Command (JSOC).
Kikiwa kama sehemu wa walinda amani United Nations Operation in Somalia II.

Mazingira ya kwenda kumkamata bwana Mohamed Farrah Aidid .kosa lilianzia hapa kujipeleka machinjioni mwa wachinjaji waliozoea silahala kama visu machinjioni.
tokea kuanzia machafuko kulikuwa na silaha nyingi na waungaji mkono ambao ingekuwa sirahisi kujua unapigana na nani na umezungukwa na nani.

Katika rekodi za marekani ni misheni ambayo ilipoteza maaskari wake kwa kutisha.

Picha zinatisha View attachment 2527771
images%20(26).jpg
View attachment 2527770View attachment 2527769View attachment 2527772
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom