Huyu mzee, haya mahaba binafsi kwa Kikwete sijui yametoka wapi, nimeshindwa kuelewa kama anachokisema kilitoka moyoni ama kujipendekeza na kuchumia tumbo.
Wazee kama hawa ambao walipewa sekta nyeti kama EWURA zikawashinda wanatafuta namna ya kujipendekeza wapewe nafasi kama kiinua mgongo. This is slave of mind, and I, personally hate it.
Kikwete anachukia rushwa kwa dhati? How?
Source: ITV - Nukuu za Mwalimu
Mwaibula anamzungumzia Kikwete yupi?
Yeye ataumbuliwa na nani?Ni kweli anachukia rushwa ndio maana mafisadi wengi hata awamu zilizopita wanaumbuliwa kipindi cha j.k huyu
Utanisamehe kama nimekosea,ninachokumbuka alikuwa mamlaka ya usafiri na nishati,kitu kama hicho.Sasa ilikuwa uwura au sumatra,sikumbuki.Point yangu ya msingi ilikuwa sifa za kijinga alizompa kikwete.Kwangu mimi niliona anasukumwa na njaa tu na si zaidi ya hapo.Ama kweli Njaa haina adabu.Nadhani SAGANKA haelewi issues. Mwaibula hakuwahi kuendesha EWURA. Na kama unakumbukumbu nzuri, alifanya kazi vizuri kuliko SUMATRA ! Ana uwezo mkubwa sana...