Mwaibula: Kikwete anaichukia rushwa kwa dhati...

M'bula waa you are trying to kiss your boss's Ass. Do u know what are Patronage, Nepotism and Kickback corruption types?
 
Huyu mzee, haya mahaba binafsi kwa Kikwete sijui yametoka wapi, nimeshindwa kuelewa kama anachokisema kilitoka moyoni ama kujipendekeza na kuchumia tumbo.

Wazee kama hawa ambao walipewa sekta nyeti kama EWURA zikawashinda wanatafuta namna ya kujipendekeza wapewe nafasi kama kiinua mgongo. This is slave of mind, and I, personally hate it.

Kikwete anachukia rushwa kwa dhati? How?

Source: ITV - Nukuu za Mwalimu

Anajipendekeza apewe uenyekiti wa bodi ya EWURA kiinua mgongo chake kimeisha. angechukia rushwa akina EL, ROST na wengine wote tunao wajua kuwa ni wapokeaji rushwa wangekuwa jela kitambo.ukiona Nchi inauza wanya hai kinyemela ujue kuna rushwa imepita maana hiyo siyo biashara halali na ndio maana hakuna kodi tuliyo ipata kutokana na biashara hiyo. NJAA BWANA KITU KIBAYA SANA.
 
Huyu mzee ni mpuuzi na amejidhalilisha..alivyoanza kuleta mambo ya kibonde niliondoka kabisa.. maada inamuhusu nyerere yeye kaja na picha ya kikwete..si utaahira huo.. anatafuta ukuu wa wilaya kwa kujidhalilisha kiasi hiki..!
 
Mwaibula anamzungumzia Kikwete yupi?

Huyu mchumia tumbo wala hamjui Kikwete!! Hao wapambe wa Lowassa wanaojaribu kumsafisha na tope lililomfurikia wanaposema kuwa hilo zigo la RICHMOND analolibeba sio lake bali anambebea mtu, unafikiri huyo mtu ni nani kama sio Kikwete? Mtu mzima kama Mwaibula ,hata kama una njaa ni busara kukaa kimya kuliko kuweka njaa yako hadharani!!
 
Ni kweli anachukia rushwa ndio maana mafisadi wengi hata awamu zilizopita wanaumbuliwa kipindi cha j.k huyu
 
Nadhani SAGANKA haelewi issues. Mwaibula hakuwahi kuendesha EWURA. Na kama unakumbukumbu nzuri, alifanya kazi vizuri kuliko SUMATRA ! Ana uwezo mkubwa sana...
 
Nadhani SAGANKA haelewi issues. Mwaibula hakuwahi kuendesha EWURA. Na kama unakumbukumbu nzuri, alifanya kazi vizuri kuliko SUMATRA ! Ana uwezo mkubwa sana...
Utanisamehe kama nimekosea,ninachokumbuka alikuwa mamlaka ya usafiri na nishati,kitu kama hicho.Sasa ilikuwa uwura au sumatra,sikumbuki.Point yangu ya msingi ilikuwa sifa za kijinga alizompa kikwete.Kwangu mimi niliona anasukumwa na njaa tu na si zaidi ya hapo.Ama kweli Njaa haina adabu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom