Mwadui

Idara Ya Maji.jpg
Juu..Tank za idara ya maji hii hifadhi wanasema ilikuwa unaweza supply mpaka vijiji vitatu vinavyo zunguka...mgodi lakini hakuna kilicho wahi pata huduma hata nini sijui tuseme.

 
Buswelu hivi lile soko la Maganzo bado lipo??? ilikuwa raha jamani eti mnakwenda na Baiskeli kununu mitumba mnakula miwa ha ha ha mweeehhh

Dena bado lipo ha aha ila kina daya na wenyewe wapo...nakumbuka kwenda na baiskeli kupitia kule line polisi.....kupita kwenye mibuyu....huyuu mpaka maganzo.
 
Dena bado lipo ha aha ila kina daya na wenyewe wapo...nakumbuka kwenda na baiskeli kupitia kule line polisi.....kupita kwenye mibuyu....huyuu mpaka maganzo.

He he he unapita Shybush ha ha ha duh daya bado yupo?? Huyo ni kiboko sana dah si mchezo yale maduka yalikuwa si mchezo mweehhh
 
Kanisa la mafundisho ya kikatoliki Dena Amsi Kumbuka Hapa!!!


Umenikumbusha mbali sana unajua tulikuwa hatutoi sakada eti Father Charles hataki pesa za Tanzania so tulikuwa tunatoka sh 1 mpaka tano ndo umetoa kubwa nilishangaa siku natoka nafika dar napewa sakaka 2000 na mjomba wangu nilishituka sana
 
Mwadui Primary School after combination of shule A & B....
IMG-20110716-00464.jpg
Duka Kubwa au supermarket ya wakati huu....Hizi siku ilivyo....kama genge..

Mwadui 35.JPG
 
Huyu atakuwa anazungumzia "Maendeleo" sijui nayo bado inafanyakazi??

Nasikia "Twiga" kumekuwa poa sana siku hizi

Yeah maendeleo bado ipo na kuna mishikaki mitamu sana kule uliko kuwa uwanja wa mpira....sidhani kama ule uwanja utakuwepo bado..kama hajawaja uvunja....kumsema williamson alificha Almasi.
 
Nimeona hiyo shule imekuwa nzuri sana Lewis bado tu yupo?? Atazeekea hapo aisee

Hilo Duka Kubwa aka Supermarket ilivyochakaa hata haifai tena
 
Nimeona hiyo shule imekuwa nzuri sana Lewis bado tu yupo?? Atazeekea hapo aisee

Yap Yap Lewis Yuko Bado Pale..Nafikiri atafia labda kuwa mwalimu mkuu au atastaaafu....Yuko Pale....

Nasikia "Twiga" kumekuwa poa sana siku hizi

Iko imekuwa powa kiaina ila si unajua watu ni wale wale mtanizamana sura....zile zile..beer zenyewe wanakunywa kwa kuangalia sura..
 
hivi imetusaidia nini mpaka sasa hivi..?

Ukianzia williamson alisaidia walau akajenga mgodi,maana wazee walizichezea bao almasi,watu walipata ajira,na kodi alilipa kwa serikali ya Tanganyika.

Ni kweli hata infrastructure pale ni za maana....ila sasa kinacho uuma ni hawakuweza ku extend huduma za kijamaa kwa vijiji vya karibu kama idukiro,ukinyenge etc.
 
Back
Top Bottom