Mwacheni rais kikwete apumzike

mkatagogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
229
43
Toka awamu ya tano iingie madarakani kumekuwepo na maneno mengi yakumponda na kudhalilisha rais wa awamu ya NNE na wengine walikuwa ndio washauri wake wakuu Leo wanajifanya kuvaa sura tofauti unafiki huu haukubaliki,mlikuwa washauri wabaya wa rais Leo mnajifanya kuwa bora rai yangu kwenu ni kuwa mwacheni rais wa awamu ya nne apumzike
 
We mbwiga poli nini? yani mtu nchi hii kaiharibu yeye kupindukia amekomba kila kitu yeyena maswahiba zake nchi imebaki makapi then unaongea utumbo eti tumwache apumzike? kudadadeki!!!! hatumwachi ng'o tutamuandama mpaka kieleweke
 
Wewe utafanyaje? Unaubavu huo au utaishia kubwabwaja tu.humu jf
 
Toka awamu ya tano iingie madarakani kumekuwepo na maneno mengi yakumponda na kudhalilisha rais wa awamu ya NNE na wengine walikuwa ndio washauri wake wakuu Leo wanajifanya kuvaa sura tofauti unafiki huu haukubaliki,mlikuwa washauri wabaya wa rais Leo mnajifanya kuwa bora rai yangu kwenu ni kuwa mwacheni rais wa awamu ya nne apumzike
Unaitwa Mkata nini vile?
 
Amefanya kazi kubwa sana ya kukata vichwa mpaka akapatikana huyu aliepatikana anastaili hongera kwa kweli
 
Toka awamu ya tano iingie madarakani kumekuwepo na maneno mengi yakumponda na kudhalilisha rais wa awamu ya NNE na wengine walikuwa ndio washauri wake wakuu Leo wanajifanya kuvaa sura tofauti unafiki huu haukubaliki,mlikuwa washauri wabaya wa rais Leo mnajifanya kuwa bora rai yangu kwenu ni kuwa mwacheni rais wa awamu ya nne apumzike
Tatizo mweyewe dio hataki kupumzika!
 
Toka awamu ya tano iingie madarakani kumekuwepo na maneno mengi yakumponda na kudhalilisha rais wa awamu ya NNE na wengine walikuwa ndio washauri wake wakuu Leo wanajifanya kuvaa sura tofauti unafiki huu haukubaliki,mlikuwa washauri wabaya wa rais Leo mnajifanya kuwa bora rai yangu kwenu ni kuwa mwacheni rais wa awamu ya nne apumzike

Madudu na kiherehere chake kubaki kwenye limelight ndio kinamponza na kwa sasa watanzania wengi wana hasira nae sana kwa kuigeuza nji yetu shamba la babu na bibi kwa manufaa yake binafsi! JPM katufungua macho; wacha mkwere pin imuingie panapostahili!
 
Back
Top Bottom