Mvua yawakera wakazi wa maghorofa ya tbl ilala

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Mvua ya leo ambayo siyo kubwa inawezeka imepenya kwenye madirisha ya maghorofa hayo, inawezekana pia imelowesha magodoro ya wakazi hao. Wenyewe hawataki kusema hili wanaona aibu, girl friend wangu amenitonya. Unajua kila appartment ina vyumba viwili, sebule na choo. Kutokana na adha hiyo leo bila shaka wazazi na mabinti zao wataungana na watoto wao wa kiume kulala sebuleni.

Mimi nawakaribisha kwangu mabinti hao ili kuepusha vijana kuchanganyika na dada zao.
 
kwako wapi sasa?
 
yanakuhusu?mvua ndo mara ya kwanza kunyesha dar?
 
ukiona hivyo ujue wewe ni shoga na unajitangaza upate bwana . haya wamekusikia watakutafuta . weka na namba yako ya simu basi. eti una gf pale . hivi wenye ma gf wanajitangazaga. ngoja sasa watu wakule kiboga
 
Back
Top Bottom