Mvua kubwa yanyesha usiku huu jijini Dar es salaam

Aisee! Nko mtongani hapa hii mvua ni hatari imeambatana na radi na ngurumo nzito imenkumbusha mabomu ya mbagara....hofu yangu kwa walio mabonden
 
Ilala imenyesha kubwa tuu. Radi za uhakika. Nahisi watu wanaoishi mabondeni itawaadhiri
 
Nahuku Kijichi wameshauchukua umeme wao mvua bado nikubwa na imeshanyesha kwa mda mrefu sana.bora kukuche salama aisee
Kumbe mkuu jirani yangu.. Mimi nipo mgeni nani, mvua ilikua hatari sana.. Mpaka nilikua nina wasiwasi nyumba itaezuliwa na upepo.. Ila huku umeme upo... Na mvua imekata
 
Back
Top Bottom