Mvua kubwa, upepo mkali, mawimbi baharini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Active, Jan 1, 2013.

 1. Active

  Active Moderator Staff Member

  #1
  Jan 1, 2013
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 358
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwamba kuanzia kesho kutakua na mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi kwa maeneo ya pwani.

  Mikoa inayotajwa kuwa na uwezekano wa kuwa na mvua kuzidi milimita 50 katika saa 24 ni 'baadhi' ya maeneo ya mikoa ya Rukwa, Iringa, Mbeya, Njombe, Ruvuma. Morogoro, Lindi na Mtwara.
   

  Attached Files:

 2. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2013
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  hata siwaamini. Hawajawahi kuwa sahihi
   
 3. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2013
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu apishe mbali!!!!
   
 4. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2013
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,047
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 38
  Balaa....
   
 5. Fofader

  Fofader JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2013
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 18
  Vifaa hamjawapatia vya kutosha mnategemea nini?


  Sent from my iPhone
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 12,906
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 63
  Ngoja aje mzee wa upako awaumbue hadharani!
   
 7. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2013
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,359
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 8. L

  Lihove JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2013
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Mzee wa upako huwa ashughulikia zile zenye kuleta madhara.hii ya kesho ni mvua normal tu,kwa hiyo itanyesha ili joto linalotukabili liishe
   
 9. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2013
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Watanzania tunapenda kubishana sana. Taarifa za El Nino ambazo mzee WA Upako alizishushua hazikua zimetolewa na Wataalam WA Tanzania pekee na kwamba waliotoa taarifa hizo ni Wataalam WA Kimaataifa ambao ndio waliokuja kuona kwamba taarifa zimebadilika kutokana na kuwapo kwa mabadiliko ya ajabu baharini. Hayo ni mambo ya kawaida Duniani vinginevyo Japan na Marekani wasingekufa kwa Maafa maana mara nyingine taarifa zinakua na utata.
   
 10. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2013
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  mzee WA upako awe Waziri WA Sayansi na Babu wa Loliondo awe Waziri WA Afya.... Tusiwe na fikra fupi, tuwasaidie babu na bibi zetu kufikiri
   
 11. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2013
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  sualaa la kuamini ama kutoamini ni baadae, muhimu ni tahadhari
   
 12. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2013
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 5,611
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 48
  Tunashukuru kwa taarifa....
   
 13. Richard Mlangi

  Richard Mlangi JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2013
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 381
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Taarifa hiyo imetaja mikoa husika.
  Dar es Salaam wala Pwani haipo, kama ni mtihani mshafeli wote
   
 14. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2013
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 7,680
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 48
  Hata kama TMA ni wachemkaji, tuchukue tahadhari tu, tusije kuvuliwa kwa boti kama wale wa Jangwani na Jangwani
   
 15. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2013
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Tayari Tufani hiyo imeleta maafa Mwanza na Igunga.
   
 16. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2013
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,112
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Hawa shwaini ni sawa na mshauri mkuu wa baba ritz (sheik yahya).
   
 17. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2013
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,112
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Nani awapatie, si kama serikali ya jk, au unataka tutoke navyo home...
   
 18. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2013
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 2,387
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 48
  Ikifika kesho watasema,pepo za kus zimebadilika,kutakuwa na ukame karibia na jangwa
   
 19. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2013
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 484
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  "Kiwango cha uhakika -Wastani"
  Ni kiwango cha uhakika wa taarifa au mvua kunyesha? Kiswahili kigumu.
   
 20. t

  tonge nyama JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2013
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 18
 21. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #21
  Jan 2, 2013
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  hahaaa! Ni kweli Dar na Pwani haipo kwenye mvua kubwa, but JF ni ya Kitaifa na pia kwa maelezo ya upepo mkali pwani na mkoa WA Morogoro kutajwa, Dar haiko salama. PIA Mito ya Moro inamwaga maji baharini so Jangwani, Msimbazi na Salender wakae chonjo.
   
 22. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #22
  Jan 2, 2013
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 17,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  i can hardly read it/
   
 23. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #23
  Jan 2, 2013
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 36,640
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 48
  Badala ya kutangaza kwenye TVs na Radio mnachapisha, Bongo bana, hivi lini mtaanzaga kwenda na muda?
   
 24. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #24
  Jan 2, 2013
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,866
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Ile mitambo mipya ya RADA ya tma imeona mvua kubwa uko angani ikinyemelea maeneo yote ya Dar. Wameonya watu woote wa mabondeni wahame mara moja.
   
 25. t

  tonge nyama JF-Expert Member

  #25
  Jan 2, 2013
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 18
  Hivi watanzania mmelogwa? Nani aliyekuambia mvua hiyo kubwa itanyesha dar, je umefanikiwa kuisoma taarifa usika au unaongea tu bila ushahidi wowote? Tembelea kwa Michuzi uone taarifa yenyewe hii hapa

  MICHUZI: TAARIFA YA MVUA KUBWA, UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA KWA MAENEO YA PWANI
   
 26. C

  COPPER JF-Expert Member

  #26
  Jan 2, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kw taarifa.
   
 27. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #27
  Jan 2, 2013
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,803
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Ngoja nami niandae mbegu za kutosha..ntapanda mpaka kwenye lami safari hii,pale jangwani walipotibua wachina napanda matikiti maji....

  Ntamuomba mkuu invisible aniazime matrekta yake...
   
 28. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #28
  Jan 2, 2013
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,803
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
 29. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #29
  Jan 2, 2013
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 1,109
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 63
  Naona wewe ndio umerogwa ili udanganyike kiurahisi,tangu utabiri wao ukawa na ukweli?,mwenzako ameonyesha xperience yake kwa watabiri,wewe una mcrush,hizo mvua zinanyesha hii ni wiki sasa,wao wamekurupuka jana.
   
 30. d

  dorisvety Member

  #30
  Jan 2, 2013
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  duh! yote hiyo ni tishio la uhaba wa chakula linalotunyemelea.
   

Share This Page