Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 613
Taarifa hiyo imetaja mikoa husika.
Dar es Salaam wala Pwani haipo, kama ni mtihani mshafeli wote
hahaaa! Ni kweli Dar na Pwani haipo kwenye mvua kubwa, but JF ni ya Kitaifa na pia kwa maelezo ya upepo mkali pwani na mkoa WA Morogoro kutajwa, Dar haiko salama. PIA Mito ya Moro inamwaga maji baharini so Jangwani, Msimbazi na Salender wakae chonjo.