Muziki anaofanya Nuruelly ni zaidi ya Diamond lakini watu hawamjui bado

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,052
4,075
Huyu ni kijana wa muda mrefu kwenye mziki lakini watanzania wengi hawamjui. Amekuwa akifanya kazi zake na band ya B-band lakini kidogo ametambulika kwenye wimbo alioshirikishwa na Kala Jeremiah "sikati tamaa".
Kwa sasa amekuja na nyimbo yake mwenye kama solo artist inaitwa tausi. Anaeweza kuiweka humu aiweke
 
Jamaa yupo vizuri sana, sema ndo hivyo tuu hana makuu na nyota imefifia. Ile ngoma yake na Kalajeremiah inatia machungu sana na kufikirisha zaidi, kama kijana inabidi kupambana haswaaa sio kukata tamaaa.
 
Nyimbo aliomtambulisha kashirikishwa na kala jeremia bado unamwambia ni mkali duuu
 
Why ni zaidi ya diamond platnumz lakn si zaidi ya kiba, belle, ben Paul au rich mavoko?
nazani akipata mshauri abadili mziki wake afanye kama huu mziki wa vijana wenzak atakimbiza sana huyu bro ni level za marehem papa wemba
 
Why ni zaidi ya diamond platnumz lakn si zaidi ya kiba, belle, ben Paul au rich mavoko?
Umeniwahi mkuu...
Nilitaka kuuliza swali kama lako..!
Hivi ni KWANINI kila msanii ambaye watu wanadhani ni MKALI,iwe nje au ndani ya TANZANIA ni lazima apimwe UKALI wake dhidi ya DIAMOND..?
Kwani hakuna WASANII wengine zaidi ya huyu mtu..!!?
INASHANGAZA sana..!!!
 
Huyu ni kijana wa muda mrefu kwenye mziki lakini watanzania wengi hawamjui. Amekuwa akifanya kazi zake na band ya B-band lakini kidogo ametambulika kwenye wimbo alioshirikishwa na Kala Jeremiah "sikati tamaa".
Kwa sasa amekuja na nyimbo yake mwenye kama solo artist inaitwa tausi. Anaeweza kuiweka humu aiweke
Sasa Ndg.Nuruelly si uweke huo wimbo tuusikilize, mbona unaleta porojo tena?
 
Bila kumtaja Diamind unajua hautatoka, ila piga kazi ya kujipandisha juu.

Sio kutunia majina ya wengine ujulikane
 
Sasa Ndg.Nuruelly si uweke huo wimbo tuusikilize, mbona unaleta porojo tena?
mkuu ingia google seach nuruelly tausi utaupata ni nyimbo nzuri sana katumia midundo ile ya zamani msondo jamaa anavoko nzur sana zaidi ya haw vijana nao wasikia kila siku wakibebw na mproduzer
 
Bila kumtaja Diamind unajua hautatoka, ila piga kazi ya kujipandisha juu.

Sio kutunia majina ya wengine ujulikane
Bila kumtaja Diamind unajua hautatoka, ila piga kazi ya kujipandisha juu.

Sio kutunia majina ya wengine ujulikane
me ni shabiki tu naejua mziki siku hiz msanii unavyokuja kweny show watu unaiwaimbia wanajua mziki kuliko wewe kila mtu ni msanii ila huyu kijana ni anauwezo sana namlinganisha najalibu kumbust ili watu wajue ni nani huyo nyimbo yake mpya inaitw tausi
 
Back
Top Bottom