Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

Na ni ngumu sana Hata Baadhi ya Wacheza Karate kuzungusha huwa hawawezi
So weather ni yule commando au sio...

Ni hakika Jamaa alikuwa Ikulu kuimarisha usalama.

Anasema history yake ni alikuwa mlinzi huko mwanza, huyo aliyekuwa anachukua wauza madafu why aliweza kupinpoint kuwa Jamaa timamu wa mwili na mzoefu kwenye ulinzi
 
So weather ni yule commando au sio...

Ni hakika Jamaa alikuwa Ikulu kuimarisha usalama.

Anasema history yake ni alikuwa mlinzi huko mwanza, huyo aliyekuwa anachukua wauza madafu why aliweza kupinpoint kuwa Jamaa timamu wa mwili na mzoefu kwenye ulinzi
Yule ni Komando na sio Tu Komando ni Mkufunzi wa makomando upande wa Infantry ndo maana ana wings Begani
 
Ulipo tupo ( wanasema hivyo), ndiyo muelewe kuwa kila kundi ulilopo Kuna chaneli za dola.

Baani kama wahudumu,
Kanisani kama wachungaji,
Misikitini kama mashekhe,
Mtaani kama boda boda, wauza madafu, wauza mkaa, wauza urembo na machinga.

Maeneo mhimu sana katika muktadha wa kiusalama.

Ishi kwa nidhamu na utii wa Sheria.

Mengine waachie wao!
Na humu wapo kibao.....hata muuza madafu yumo huku nae anachangia uzi bin uzi
 
mikono inakuwa kama chuma hakuna ubaunsa baunsa ukipigwa ngumi ni sawa na Nondo au Mkuki watu wa Mashangalimaz na shufwani watu wa Kurasini TILGT MOTOOO
kwa tuliopitia martial art, usijeona mtu ana minyamanyama ukadhani ana nguvu, art ya kupigana ina maeneo muhimu ya kupiga, ambayo hata ukiwa na minyama namna gani ya gym, ukipigwa hapo lazima ukae chini, na haihitaji sana uwe na minyama, cha muhimu uwe na mwili flexible na misuli iliyokula mazoezi ikawa migumu. basi. hapa naongea na watu wazima waliopitia mafunzo, sihamasishi martial arts za mtaani huko kuumiza wenzenu. kwa mwenye akili tu ameshaelewa huyo dogo asingeuza madafu mbele ya Rais ambaye watu wanatafuta hata kuwa karibu naye tu hawapati nafasi, sio kitu cha kawaida.
 
Haina mjadala tena huyo ndio yeye mwenyewe captain ambae pia ni CDO. Ukifika cheo cha captain unaweza kupewa jukumu ambalo ukitaka kufanikisha kitu unakuwa ni disguise. Yupo ambae aliwahi kuact kama kocha wa mpira kilichofata ni historia, yupo aliact kama muuza dagaa kigoma, mafuta ya mawese na kadhalika kilichofata wazee wa magendo walisimulia. Najua wengi wako ni denial ni kawaida sana
Uko sahihi mkuu...Kuna mmoja kwenye kila miradi ya barabara yumo...anasotea kazi ati kwamba yeye ni operator...Tinde alikuwepo...Sumbawanga alikuwepo..Songea alikuwepo....
 
Back
Top Bottom