FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,911
- 109,280
Sasa kuziweka hapa itatusaidia vipi? Visiwa vya Hawaii vilivamiwa na Wamarekani, wakaua mfalme wao na kuifanya Hawaii sehemu ya Marekani.
Leo sijawasikia Wahawaii wakilalamika kama Wazanzibari wanavyolalamika na kunukuu historia.
Jee, bado swali lako halijapata jibu hadi hii leo mchakato wa katiba unapoendelea?