Mdude_Nyagali
Member
- Dec 11, 2022
- 60
- 1,237
Ndugu wanajukwaa. Nimewaletea maoni yangu juu ya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopaswa kuwa. Hapa chini nime - Upload pdf ambayo kila mmoja anaweza kupitia. Kwa machache nimependekeza kama ifuatavyo.
1. Wajumbe/Makamishina wa Tume Huru ya Uchaguzi wawe 12 tu.
2. Kwamba wajumbe/Makamishina hawa 12 watokane na Vyama vya siasa, tasisi za dini na asasi za kiraia.
3. Kwamba Wajumbe/Makamishina wakishapatikana watakutana na kufanya kikao cha kumteuwa Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi miongoni mwao.
4. Kwamba nafasi za wasimamizi wa Uchaguzi ambazo kwa sasa ni wakurugenzi wa halmashauri zitangazwe ili kuwapa wenye sifa kutuma maombi yao. Kwamba watakaohusika kuwafanyia usaili wasimamizi wa Uchaguzi ni Mwenyekiti, Mkurugenzi pamoja na wajumbe/Makamishina wa uchaguzi waliopatikana kama nilivyoeleza hapo juu.
5. Kwamba watumishi wa Tume Huru ya Uchaguzi waajiriwe na iwe marufuku kuwateuwa vyeo vingine mpaka watakapomaliza muda wao wa utumishi katika tume hiyo.
6. Ndani ya muundo huru nimeanisha utendaji wa tume, uhuru wake na uwajibikaji wake.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment TUME HURU YA UCHAGUZI-Mdude.pdf