Mustafa Sabodo ni nani?

Njangula

Senior Member
Oct 20, 2011
179
18
Wanajamvi wenzangu, kwa miaka ya hivi karibuni nimekuwa nikilisikia jina Sabodo kama mdau mkubwa demokrasia hapa nchini. Alitoa msaada fulani kwa CDM mwaka 2010 na leo tena katoa msaada, je huyu mtu mwema ni nani?
 
Niliambiwa muda kitambo kuwa ni mwana CCM ila amejitoa muhanga kuimarisha Demokrasia nchini kwa kuimarisha vyama!
 
Lusinde wewe unaishi wapi?umemsikia alafu usimjue?nenda kwake kamuulize wewe nani?R.A anayefadhili magamba ni nani?
 
Ni mfanya biashara halali anaelipa kodi ndio maana anafanya vitu bila kificho wala woga.angekua na doa ungeona tayari magamba wameshaanza kumfuatilia na kumzushia kua halipi kodi.angalia mzee ndesa pesa anavyo wachana live kua anapesa,hajifichi anasimama live na kusema niiteni ndesa pesa,nikwakua anauhakikka na biashara zake.tra walisha tuma wakiguzi wake akawaambia mwambieni bosi wenu aje kwani nyie ripoti ya uchunguzi mtakaopeleka mtaambiwa niliwahonga mwambieni bosi wenu aje,toka siku hiyo adabu tele.sabodo no mfanya biashara halali ndio maana hawathubutu kumgusa
 
magamba hawajaamua 2,ila wakiamua huyo ndesamburo hana ubavu wa kuzuia moto wao..si uliona walivo mfinya finya kule arusha kipindi kile?
 
Sabodo aliona kifo kinamjia akagawa urithi, pesa iliyobaki anakula na kusaidia watanzania kuimarisha demokrasia. CCM hawamuwezi maana anakula pensioni ya biashara na hayupo active ktk business
 
Chadema wawe makini na fisadi huyu anayetumia jina la mwalimu Nyerere kujitajirisha. Atawachafua. Kimsingi, Sabodo anatafuta pa kushika baada ya kugundua kuwa genge la mafisadi la CCM lililokuwa likilinda miraja yake laweza kunyang'anywa madaraka na Chadema. Si ajabu akawageuka akiona CCM inarejesha nguvu tayari kushinda 2015 ingawa hili haliwezekani. Angeeleza analipa kodi kiasi gani na mtaji wake aliupataje na anaendesha biashara yake vipi badala ya kukimbilia kupokea pesa chafu toka kwa watu wachafu wanaojionyesha kama watu safi.
 
Hawa wahindi sio watu wa kuamini!walikuwa upande wa ukoloni miaka ya kabla ya uhuru,walipoona dalili ya uhuru wakajiunga TANU,sasa wameona CCM inazama wanajiunga upinzani pesa yao pokeeni but stay with them kimachale machale!
 
Duh! kwa hali hii kumjua msafi na mchafu itakuwa ngumu, nadhan mpango wa kuchangishana wanaCDM ndo uwe mpango mzima kwa ustawi wa CDM.
:shock::shock::shock:
 
JE huu NI UPINZANIA WA KWELI huu au mapenzi tu kwenye pesa? yaani roho yake hatujishughurishi nayo ila pesa yake INSHALLAH.....I WISH ingekuwa hivi na ndani ya vikao vya vyama vyetu hivi yaani kukubaliana kutokukubaliana!! SEBODO ANAKUBALIKA KOTE CHADEMA NA CCM...... Jaribu kumuiga na umasikini wako.....utajuta.. tafakari kwa ajiri ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom