Muslim University of Moro Graduates huishia wapi?

MUM Tuanzishe viwanda vya magari watu wapate ajira humu humu chuoni kwetu Morogoro.
 
Kikwete kawaweka serikalini...naona umeshupaaa na MUM kwenye thread zako
 
Uhakiki ufanyike katika vyuo vingine si hapa MUM sisi tunafahamika kimataifa zaidi hizi SIASA ZA MAJI TAKA hapa nchini hatuzitakivi sisi tumejipambanua katika KUBORESHA Elimu ya juu level yetu ni HARVARD na OXFORD.

cc. Donad Tramp
 
Kwanza hoji yaliotokea Dodoma university na St.joseph kisha ndo ufuatilie ya MUM,..wahitim weng wa mum wana ajira zao mashuleni na ni waandish wazur wa habar...pia wana wahitim webg walio bobea kweny Taaluma ya Maabara....pia Acha Udini koongoz,Vyuo majipu vpo vingi na ambavy vyeti vyake havina soko mbna huvisemi??mHuo utafiti ulifanya lini wapi na ulitumia njia kufikia conclusion???Shwaine ww
 
Mum ni JIPU kubwa. Shehe wa mtaani ndiye external examiner!
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahaha daaaaaaaah mbavu zangu
 
Back
Top Bottom