Museveni: Marekani wanajiona bora kupita kiasi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,281
Rais wa Uganda Yoweri Museveni hajaonesha wasiwasi kuhusu kuondolewa kwa nchi yake katika mpango maalum wa kibiashara wa Marekani na Afrika,AGOA.

Wiki iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden alisema Uganda na nchi nyingine tatu za Kiafrika zitaondolewa kwenye mkataba wa (Agoa), akitoa mfano wa Uganda kama "ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu zinazotambuliwa kimataifa".

Rais Museveni siku aliikosoa Marekani, akisema "wanajiona bora kupita kiasi" na "kimakosa wanafikiri kwamba nchi za Afrika haziwezi kusonga mbele bila uungwaji mkono wao".

"Kama Uganda, tuna uwezo wa kufikia malengo yetu ya ukuaji na mabadiliko, hata kama baadhi ya wahusika hawatuungi mkono," aliongeza.

----------

Uganda’s president said Sunday that the US government had overestimated its value to his country after Washington decided to remove the East African nation from a major trade pact over human rights violations.

The US said last week it was cutting Uganda as well as the Central African Republic (CAR), Gabon and Niger from the African Growth and Opportunity Act (AGOA) from January 2024.

The programme offers duty-free access into the world’s largest economy for sub-Saharan African countries that meet democratic criteria, which are assessed on a yearly basis.

In a letter to Congress, US President Joe Biden said that the governments of the CAR and Uganda had both “engaged in gross violations of internationally recognised human rights”.

Uganda has faced criticism from rights groups, the UN and Western powers over a harsh anti-gay law adopted in May.

But President Yoweri Museveni struck a defiant note on Sunday, telling Ugandans “not to be over-concerned by the recent actions by the American government in discouraging their companies from investing in Uganda and on removing Uganda from the AGOA list”.

“Some of these actors in the Western world overestimate themselves and underestimate the freedom fighters of Africa,” he said on X, formerly Twitter.

“As far as Uganda is concerned, we have the capacity to achieve our growth and transformation targets, even if some of the actors do not support us.”

His senior aide and son-in-law Odrek Rwabwogo had earlier said that Kampala was open to discussing the issue with the US, warning that the decision would hit Ugandan farmers and small business owners.

“While Ugandan trade through AGOA was insubstantial, growth of our exports to the US and other partners was an important pillar of our economic strategy going forward,” Rwabwogo said in a statement released on Wednesday.

Biden had called for the immediate repeal of the anti-gay legislation after it was passed, and threatened to cut aid and investment in Uganda.

The law adopted in May contains provisions making “aggravated homosexuality” a capital offence and imposes penalties for consensual same-sex relations of up to life in prison.
 
H
Akili Mgando kama Za Kwako.. kuna Siku watakubaka na Watoto wako ndani ili wakupe Msaada na Wewe utaona Sawa tu
Hapo ulipo umesaidiwa kila kitu ndo maana hata simu uliyonayo bado umenunua kutoka kwao, unatumia Instagram, fb, WhatsApp, unavaa nguo kutoka kwao, umepata elimu kutoka kwao,, wewe umegundua kipi zaidi ya michepuko na miparange??? Aliyekutangulia kakutangulia tu ukweli unauma eee
 
Kwa nini siyo rahisi??
Hapo kwenye mtazamo wa kujikana na kutojiamini ndiyo mzizi wa sababu ya kutopiga hatua.
Sio rahisi
1. Mifumo yoote ya Afya duniani ya medical na clinical na etc inatoka kwao
2.mfumo ya elimu yoote hadi mitaala wao hutuongoza
3.mifumo ya kijeshi hadi siraha tunatoa kwao
4.mfumo wa siasa yoote inatoka kwaoo
5.Uchumi ndo kabisaaa tumekopa zaidi 82 trillions kutoka kwao, Achani kudanganyana huko vijiweni
 
Inawezekana kabsa kwa nchi za Afrika kujitegemea lkn changamoto kubwa ni masoko ya kuuza malighafi zetu maana Mali nyingi bado tunauza bila kuongezewa thamani..lkn pia Raise mseveni anatakiwa ajitafakari kuachia kizazi kipya madarakani ili nchi ya Uganda ipate changamoto mpya..
 
H

Hapo ulipo umesaidiwa kila kitu ndo maana hata simu uliyonayo bado umenunua kutoka kwao, unatumia Instagram, fb, WhatsApp, unavaa nguo kutoka kwao, umepata elimu kutoka kwao,, wewe umegundua kipi zaidi ya michepuko na miparange??? Aliyekutangulia kakutangulia tu ukweli unauma eee
Huna akili
 
Inawezekana kabsa kwa nchi za Afrika kujitegemea lkn changamoto kubwa ni masoko ya kuuza malighafi zetu maana Mali nyingi bado tunauza bila kuongezewa thamani..lkn pia Raise mseveni anatakiwa ajitafakari kuachia kizazi kipya madarakani ili nchi ya Uganda ipate changamoto mpya..
Korea kaskazini anaishije? Mpaka anatengeneza makombora hivi sasa na anaishi chini ya vikwazo vizito vya hizo nchi za magharibi?
 
Korea kaskazini anaishije? Mpaka anatengeneza makombora hivi sasa na anaishi chini ya vikwazo vizito vya hizo nchi za magharibi?
Wewe unaona korea kaskazini imeendelea???
Hebu nitajie Norminal na real GDP yao, pili PPT yao, tatu product zao ambazo umewah kusikia hata kama ni consumer good alafu tuzungumze
 
Back
Top Bottom